Miaka 59 angefikisha 26 March 2022. Wewe ukizaliwa tarehe 31 March 2000 ikifika tarehe 10 February 2001 utasema una umri gani? Utakuwa umeshafikisha mwaka 1?
R.I.P.
Hata mtu awe mwema ama mbaya lazima afe. Mara tu unapozaliwa unaanza kukielekea kifo...Kifo si adhabu, ni timizo la maandiko. Unatoka mavumbini, unarudi mavumbini....
Kwa hiyo nitakuwa sahihi kuwa Marehemu Dr. Mwele Malecela alifariki akiwa na miaka 58 na miezi 11? To be precise hakuwahi kufikisha miaka 59? (In Kibatala's voice)