TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Alale anapostahili!

Tusifurahie vifo vya watu maana hatujui ni lini na sisi tutakwenda!

Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hakika ataonja mauti na kifo si adhabu ambayo mtu anaweza kumuombea mtu ....

Hivyo kila mtu awe tayari kwani siku ikifika lazima ufe tuu...
 
Kuna taarifa kuwa Dk Mwele Malechela,mtoto was Wazirri Mkuu Mstaafu John Malechele ameaga Dunia Leo Jioni!
Taarifa zaidi tembelea Instagram page ya Mwanae Mange Kimambi!
RIP DK
Taarifa zaidi kutoka kwa mwanae Mange Kimambi yaani Mange Kimambi ni mtoto wa Dk. Mwele au mtoto wa Mange Kimambi ana tarifa zaidi?
R.I.P.
 
Umenikasirisha bro. Kwanini unafanya jokes na maswala mazito kama hayo. Anyway mungu akusamehe

Haya ni matokeo ya utamaduni ulioanzishwa humu wa kubeza vifo vya watu na kuwaombea watu vifo wakidhani kifo ni adhabu kumbe ni ahadi ambayo kila mtu ameahidiwa na atapokea kwa wakati wake!

Wewe umeaumizwa na watu kubeza kifo cha Dr Mwe lakini kuna wengine waliumizwa watu walivyo beza kifo cha Magufuli hivyo lazima tukubali dhambi hii itamgusa kila mmoja!
 
Hizi ndizo habari zilizotoka hivi punde kupitia page ya Habari Leo.
Screenshot_2022-02-10-19-35-59-52_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom