babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
58+
Kwa uzuri nakataa, kwa usomi nakubaliDada mzuri na msomi mbobezi.R.I.P Dr.
Ni mwanae kivipi?Kuna taarifa kuwa Dk Mwele Malechela,mtoto was Wazirri Mkuu Mstaafu John Malechele ameaga Dunia Leo Jioni!
Taarifa zaidi tembelea Instagram page ya Mwanae Mange Kimambi!
RIP DK
Ni taarifa ya kuhuzunisha mno hii. Pole nyingi ziwafikie wale wote wanaoguswa na msiba huu mkubwa, hasa familia yake, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wa Dr. M.N Malecela.View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT
Nilitaka kuuliza kama anafamilia, naona MC paskali umejibu.Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake...
RIP DEAR SISTERApumzike kwa amani.
Amefariki.
Alikuwa anaumwa kwa muda mrefu.
Nafikiri ni zaidi ya mwezi alikuwa hospital.
Ila Mange nae jamaniiiii.
Ngoja aombeleze tutamchamba siku nyingine.
Mama yake wa kamboRip dr mwale, pascal nimeona mange akipiga ukunga eti mama yake kafa, ni mama wa hiyari au mama mzazi? Lakini pia nikakumbuka kifo cha jpm nikamkumbuka mange.
Anyway sote njia moja