Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Cancer ya Aina gani Mkuu?. So sad.She was a known case of Cancer
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cancer ya Aina gani Mkuu?. So sad.She was a known case of Cancer
.
Ndugu cancer uwahi uchelewe kifo kipo pale pale... nimeuguza mgonjwa wa cancer naongea kwa uzoefu.Nimesikia ni cancer ingekuwa vizuri kama ni cancer waseme ili kusaidia watu kwenye hospitali mapema. Cancer ni kuiwahi[emoji120] RIP
Masikini Mwele RIP.View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT
Apumzike kwa amani mzalendo Dr. Mwele Ntuli Malecela
From the archives:
4 December 2019
Keynote Address by From Dr. Mwele Malecela, Director, Department of Control of NTDs, WHO.
Ndugu cancer uwahi uchelewe kifo kipo pale pale... nimeuguza mgonjwa wa cancer naongea kwa uzoefu.
Kinachoongezeka ni siku tu za kuishi kwa aliyewah. Ila siku msipotegemea inakusaprize
Sawa,wewe utaenda mbinguni,unaongea kama vile wewe ndio Mungu eti huyu mbinguni yule motoni!TRASH!!!Na huyo dada alikuwa sahihi kubeza kifo cha yule dhalimu. Huyu mama inatuuma maana alikuwa na utu, na hakuwa na kiburi cha madaraka. Huyu ataenda mbinguni, wakati dhalimu yuko motoni.
[emoji871]Kwa wale mnaoshabikia vifo vya mahasimu wenu mnalo kubwa la kujifunza.
[emoji871]Hapo ndio muelewe kila mtu na tarehe yake Kiganjani.
[emoji871]Kubaki Duniani ukiwa hai huwa kuwategemea kudra za mwenyezi Mungu.
[emoji871]Kuna watu huwa wanapost kama vile wanao mkataba na Mungu.
Tumuombee marehemu pumziko jema la milele.
Yeye ameumaliza mwendo ila bado safari yetu. [emoji120]
RIEP Dr. Mwele, Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT
Sitaki kukumbuka mpenzi..That's very true cancer ni swala la muda tu
Kifo Ni adhabu ambayo walipewa baba yetu Adamu na Hawa pale bustanini na ndio kinatawala mpaka leoHaya ni matokeo ya utamaduni ulioanzishwa humu wa kubeza vifo vya watu na kuwaombea watu vifo wakidhani kifo ni adhabu kumbe ni ahadi ambayo kila mtu ameahidiwa na atapokea kwa wakati wake!
Wewe umeaumizwa na watu kubeza kifo cha Dr Mwe lakini kuna wengine waliumizwa watu walivyo beza kifo cha Magufuli hivyo lazima tukubali dhambi hii itamgusa kila mmoja!
Kifo Ni adhabu ambayo walipewa baba yetu Adamu na Hawa pale bustanini na ndio kinatawala mpaka leo
Yah right. This is sad. Pole kwa Williams aka Field Mashal ES sauti ya Umeme toka enzi za jukwaa la BCS ya Nyaurawa (RIP) before Jambo Forums.Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
59ersAlikua na umri gani huyu mama,naona Kama alikua bado mdogo?
NIMRI ametumikia miaka mingapi?Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda.
Kwa wasio mfahamu Dr. Mwele, alikuwa ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti ya kiafya Tanzania (NIMRI) Kabla Ya Kuondoshwa Kazini Rais Magufuli alipotangaza Kupatikana Kwa Visa Vya Ugonjwa Wa "Zika'' Hapa Nchini Tanzania...