Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo la kawaida kwa watu kufurahia au kuua mtu ambaye anawatesa au anawapa kero iwe kijamii au kisiasa.Hivi kwa nini Watanzania huwa tunafurahia vifo vya wenzetu?
MifupaCancer ya Aina gani Mkuu?. So sad.
Ndugu cancer uwahi uchelewe kifo kipo pale pale... nimeuguza mgonjwa wa cancer naongea kwa uzoefu.
Kinachoongezeka ni siku tu za kuishi kwa aliyewah. Ila siku msipotegemea inakusaprize
Ndugu cancer uwahi uchelewe kifo kipo pale pale... nimeuguza mgonjwa wa cancer naongea kwa uzoefu.
Kinachoongezeka ni siku tu za kuishi kwa aliyewah. Ila siku msipotegemea inakusaprize
Usilolijua ni Sawa na Usiku wa kiza huyo Mama ndio amemlea Mange na ndio msaada mkubwa Kwa Mange!!...Kabla huja amuua kuweka ujinga wako wazi unatakiwa utafakari vizuri!!.Huyo mama ana cv kubwa lakini bure tu, kabisa na cv hiyo anakua chawa wa mange?
Hii nchi Kuna matahira wengi
So sad!View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT
Pole sana kuna cancer ukigundua mapema zina zaidi ya 90< kupona mfano tezi dume mheshimiwa kikwete na mzee wangu waliwahi wakatolewa tezi dume bila hivyo ingekuwa ngumu. Cancer ya maziwa na tumbo nayo ukifanya screening mapema inasaidia sana. Kuna tofauti sana na cancer ya stage 1 na cancer ya stage 3 au 4. Na mimi sisemi kwa hisia kuna data za kuthibitisha haya. Kosa tutakalo fanya ni kusema stage 1 and stage 3 au 4 ni sawa.
Kila mmoja ana agano la uhakika na mauti, anytime (t) unaondoka hapa duniani.Kifo ni safari ya kila binadamu.
Hakichagui maskini wala tajiri..utibiwe amana ama utibiwe majuu apollo kifo kikiamua kukubeba hutoki