TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Mtu utasomaje na kila mtu?, mimi sijasoma na kila mtu, ila nimetokea kuwa na kumbukumbuku nzuri kwa niliosoma nao, au darasa moja, shule moja, au chuo kimoja, tena huwezi amini nawakumbuka kwa majina, toka niliosoma nao Kindergarten!, ila imetokea wengi niliosoma nao, tangu Primary, sekondari, A lever na Chuo, they happen to be somebodies!.
Tena huyu, sio tuu nimesoma nae, hadi kwao tumecheza!.
P
Yet huteuliwi popote pamoja na kusoma na wateule hii inaonyesha una kasoro.
 
Senyagwa ndio wa kwanza kwao, Mwele ni wa pili, Mwendwa ni wa tatu, mwendwa ndio darasa moja na mimi, Ippy ni wa mwisho. Tukiwa primary alitutangulia, Mimi nimejiunga Tambaza form 1, Senyagwa yuko form V - PCM. Nikiwa form III, Mwele akaja Tambaza PCB.
P
Kwenye cv yake inaonyesha kasoma weruweru na kilakala, na hizo ni shule za wasichana tu. Wewe unaitwa paskali, mbona nashindwa kuelewa? Au wewe ni ke?
 
Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Mkuu ina maana wewe umepisha miaka mi5 na Mama SAMIA?? Aiseee
 
Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Then kuna vijana wanakuchukulia poa. Pole yetu sote. Sisi waosha magari hapa kijiweni tunamkumbuka alikuwa zaidi ya boss
 
Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Mkuu kumbe tuanze kukuamkia asee maana Mwele ana 59, but hongera sn
 
Back
Top Bottom