Snoop Dogg
JF-Expert Member
- Jan 10, 2022
- 283
- 262
Mtu alikuwa na miaka 59 unasema alikuwa kijana.RIP Dr Mwele Malecela. Pole Mzee John Malecela na familia nzima. Pole Rais Samia na watanzania wote. Tumepoteza kijana mfano wa kuigwa. Mtanzania aliyekuwa ngazi za juu katika Umoja wa Mataifa. Hakika tumepoteza kitu cha thamani kama Taifa. Ulale salama dada.