Pole sana Kaka Pasco!Mkuu Mwaikibaki , asante kuni tag, it's so sad!.
Dr. Mwele ananihusu sana, kwanza nimesoma nae Primary, yeye alitangulia darasa moja, mimi nikisoma Class moja na mdogo wake, Mwendwa (Jaji). Kisha tukakutana Tambaza yeye
A-Level mimi O-Level, kisha mimi nikaja kuwa MC wa harusi yake!. Hivyo msiba huu umenigusa sana !.
Pole sana familia ya Mzee Malecela na mwana JF mwenzetu Mkuu william Malecela.
RIP Dr. Mwele Malecela.
P
Apumzike kwa amani Dr. Mwele