johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwenye hiki la Corona kila mtu kageuka Daktari...hili ndilo linatuponza watanzania.
Anajua factor zinazo tumika wakati wa majaribio au ana ongea tuu maadam yuko mbele ya kamera?Kheeeee
Anayemhoji ni kihio zaidi ya anayejibu ndo maana hakufikiria na kuuliza hili.Hii ni chanjo ya kwanza kujaribiwa eneo lenye baridi?
Anayemhoji ameuliza hili swali au la?
Kule port Elizabeth huwa inafika mpaka -8 degree celciusIpo hoja ndani yake .....
SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
PJ na Baby Kabae!Anayemhoji ni kihio zaidi ya anayejibu ndo maana hakufikiria na kuuliza hili.
Ipo hoja ndani yake .....
SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
Wanayo chanjo ya matone inaitwa covidol unakunywa Kwa kutumia glass. Imethibitishwa na mkemia wa serikali.Hvi NIMRI wanafanya nn au nao wanajifukiza? Kwa nn maghufuli asiifute NIMR na kuwafukuza wote kazi ...mpak sa hv hawajaonyesha effort yyte ya wao nao kutafta chanjo ...wamekaa tu kusikiliza matamko ya Wana siasa