Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajua process ya chanjo yoyote inapitia algorithm ipi mpaka ifikir kuitwa chanjo?Ipo hoja ndani yake .....
SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
Kosa wanalofanya ni kuhisi kwamba virus wa COVID-19 ni kama.vya mafua na havitambi nchi za joto. Ndiyo maana Daktari huyu mpya anasema watutengenezee chanjo yetu ya nchi za joto!!Dr Mwigulu Nchemba baada ya kupata title ya Udokta (PhD) anahisi na yeye ameshafuzu uMD
Uchumi na Afya wapi na wapi??
Pathetic!!
[emoji106]You can forgive Magufuli ukisikiliza hoja zake unaona tatizo la msingi ni psychological barrier (mistrust ambayo misingi yake ni ngumu kuelewa).
Ni mambo ya kawaida kwenye medical intervention yeye sio kwanza ‘unfounded fear’ matter of fact sasa nchi kama UK wana campaign kubwa ya ushawishi kwa baadhi ya raia wao haswa jamii za east Asia na Black communities.
Unaweza elewa pia wakati mgumu wataalamu wa wizara ya afya kukwepa health promotion kadhaa ili watu wachukue tahadhari zaidi, kwa uoga wa kupoteza ajira zao kwa siasa za Tanzania.
Lakini ni jambo la kujidharaurisha sana waziri tena msomi mwenye PhD, ambae huna ulazima wa kutoa matamko kwa sababu hiyo sio wizara yake; kuja adharani na kujidhalilisha kwa kuongea ujinga kama huo yote kwa sababu za kujipendekeza.
Lakini ni jambo la kujidharaurisha sana waziri tena msomi mwenye PhD, ambae huna ulazima wa kutoa matamko kwa sababu hiyo sio wizara yake; kuja adharani na kujidhalilisha kwa kuongea ujinga kama huo yote kwa sababu za kujipendekeza.You can forgive Magufuli ukisikiliza hoja zake unaona tatizo la msingi ni psychological barrier (mistrust ambayo misingi yake ni ngumu kuelewa, if you ask me it’s due to misinformation).
Ni mambo ya kawaida kwenye medical intervention yeye sio kwanza kuwa na ‘unfounded fear’ matter of fact sasa hivi nchi kama UK wana campaign kubwa ya ushawishi kwa baadhi ya raia wao haswa jamii za Rast Asia na Black communities, wengi wana psychological barriers na chanjo.
Unaweza elewa pia wakati mgumu wanaopitia wataalamu wa wizara ya afya kukwepa health promotion kadhaa ili watu wachukue tahadhari zaidi, kwa uoga wa kupoteza ajira zao kwa siasa za Tanzania.
Lakini ni jambo la kushangaza sana waziri tena msomi mwenye PhD, ambae hana ulazima wa kutoa matamko kwa sababu hiyo sio wizara yake; kuja adharani na kujidhalilisha kwa kuongea ujinga kama huo yote kwa sababu tu, za kujipendekeza.
Hao wanaoendesha hicho kipindi wanapaswa kumuuliza swali hili: Kwani chanjo nyingine zote zinazotumika hapa nchini zimetoka wapi?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Ngoja ianze kuwala na wao ndiyo akili zitawajia.Sosa wanalofanya ni kuhisi kwamba virus wa COVID-19 ni kama.vya mafua na havitambi nchi za joto. Ndiyo maana Daktari huyu mpya anasema watutengenezee chanjo yetu ya nchi za joto!!
Mwigulu nchemba na yeye siku hizi ni dokta wa binadamu?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo ujiulize, na bado hawajaacha kubugia 😀Kwahiyo ARV za nchi za baridi ni tofauti na ARV za nchi za joto?
Nalog off