Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
India, Brazil, UAE, Indonesia kuna baridi? Awamu hii tunaongozwa na watu pumbavu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa...tutawaleteaDuuh! sisi wa Tukuyu itatufaa,hao wa Dar wasubiri zinazofanyiwa majaribio huko Libya.
Ngoja na Mimi nikachukue chupa mbili tatuHaha haaa....
Mkuu president alishaisemea hii. Ipo nimr watu wananunua machupa Kwa machupa.
Kuita chanjo nilikuwa natania tu, ni dawa ya maji mfano wa Ile ya Antananarivo sasa Kwa taasisi ya utafiti kama nimr badala ya kujihangaisha kutafuta chanjo yetu wenyewe wao Wana deal na tiba mbadala zaidi.
Za polio, ndui, tetanus etc zilifanyiwa tafiti nchi za joto?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
... eti majaribio yamefanyika nchi za baridi! Kwa hiyo anataka kutuambia dawa zote tunazotumia Tanzania ambazo zimetengenezwa nchi za baridi ni matoleo maalumu kwa ajili ya nchi za joto? Kwamba, kila dawa inakuwa na matoleo angalau mawili; version ya nchi za baridi na ya nchi za joto? Tuna viongozi wa ajabu sana!Nchi za baridi lakini binadam ni yule yule body temp ni 37°C
Kwani ni dawa gani hazijaanzia kwenye nchi za baridi.. tuache ujuaji
Hao NIMR ni kimeo tu.Hvi NIMRI wanafanya nn au nao wanajifukiza? Kwa nn maghufuli asiifute NIMR na kuwafukuza wote kazi ...mpak sa hv hawajaonyesha effort yyte ya wao nao kutafta chanjo ...wamekaa tu kusikiliza matamko ya Wana siasa
Hao NIMR ni kimeo tu.Hvi NIMRI wanafanya nn au nao wanajifukiza? Kwa nn maghufuli asiifute NIMR na kuwafukuza wote kazi ...mpak sa hv hawajaonyesha effort yyte ya wao nao kutafta chanjo ...wamekaa tu kusikiliza matamko ya Wana siasa
Hapa ndio mwigulu anajiharibia kabisa.. kwa taaluma yale ya PHD anaongea umbea kama huu kwenye chombo cha habari kama clouds.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa......hii dunia ina sanaa sana!Ukute huyu jamaa ashapata chanjo 😂
Kubadili wizara kwanza!Hapa ndio mwigulu anajiharibia kabisa.. kwa taaluma yale ya PHD anaongea umbea kama huu kwenye chombo cha habari kama clouds.
Haya mambo anatakiwa awe muungwana tuu na kumwachia waziri wa afya ayatolee majibu, yeye ajikite kwenye sheria zake huko.
Tatizo la mwigulu anautaka Urais sana na kwa mbinde, bahati mbaya kwa ujinga huu yanaweza mpata yaliyo mpata makonda.
South Africa iliwakataa na ndio maana wamestop, majaribio ya kwanza watu 2000, hayakufanikiwa walipojaribu waliambukizwa wote, fatulia media au sema nikupe link.Ipo hoja ndani yake .....
SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
Nchi za baridi lakini binadam ni yule yule body temp ni 37°C
Kwani ni dawa gani hazijaanzia kwenye nchi za baridi.. tuache ujuaji
Nina elimu kidogo sana na virology ispokuwa chanjo mpaka WHO iipitishe huwa na mchakato mrefu kidogo maana huwa na muda wa majaribio katika maeneo mbalimbali mfano kwenye ukanda wa ikweta nk,baada ya mchakato huo ndipo matokeo jumuishi huchukuliwa kwa ajili ya tathmini kabla ya kuidhinishwa rasmi sasa hili la korona kila nchi inafanya kivyake kutokana na ubaya wa tatizo baada ya WHO kukatwa mkono na TRUMPWewe unajua process ya chanjo yoyote inapitia algorithm ipi mpaka ifikir kuitwa chanjo?
Nimejibu kutokana na mtoa mada hapo juu isome mada kwanza>>>>South Africa iliwakataa na ndio maana wamestop, majaribio ya kwanza watu 2000, hayakufanikiwa walipojaribu waliambukizwa wote, fatulia media au sema nikupe link.