Unamwamini mwendazake?Mwenda zake aliacha akikusanya kodi ya shillingi trillioni 1.9,toka ameondoka machi, april makusanyo yamefikia trillioni 1.3,na kwa sa hv hizi mbio za covid zinazoanzishwa tutafikia bilioni mia 800 hadi 900 mwisho wa mwaka.
Wakati katika kila mwezi tunatakiwa tulipie bilioni 700 kwa ajili ya madeni tu.
Mwenda zake aliacha trilioni 9 hazina sasa zipo 6.kazi iendelee
Una uhakika na unachokisema?au umeamua kufurahisha jukwaaMwenda zake aliacha akikusanya kodi ya shillingi trillioni 1.9,toka ameondoka machi, april makusanyo yamefikia trillioni 1.3,na kwa sa hv hizi mbio za covid zinazoanzishwa tutafikia bilioni mia 800 hadi 900 mwisho wa mwaka.
Wakati katika kila mwezi tunatakiwa tulipie bilioni 700 kwa ajili ya madeni tu.
Mwenda zake aliacha trilioni 9 hazina sasa zipo 6.kazi iendelee
Bora ametangulia mbele za hakimwendazake alikua mtu wa fix sana
Asante kwa kuweka vizuri hii iweze kueleweka hata na wajinga.Kwa ujumla, awamu ya 5, zaidi ilitegemea ulaghai ili kutafuta kuungwa mkono, hasa na watu wajinga. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuhofia kuwa hata wale wajinga wanaweza kueleimika wakaujua ukweli.
Akili yako nzito sana kuelewa“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice)
Duuu 20Tril ni mziki usio mwisho miaka 10 hii ngomaitakuwa badoMbona walisema ingharimu sh trillioni 7 tu??
Sio kupunguza tu posho wazifutilie mbali tu mana bado wana mishahara minono halafu kuna watumishi wana mishahara kiduchu na posho hawana.ni wapumbavu wanakurupuka kufanya mambo bila kufikiria halafu mzigo wa mwisho wanataka abebe mwananchi wa kawaida, wao siku zote walikuwa wanampamba rais aliyekuwepo madarakani ili kulinda ulaji wao kwanini wasipunguze posho zao badala yake wanataka kukamua wananchi.
Umeongea vizuri sana na bila shaka wewe ni Mbunge au Mh fulani.Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini,kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda, mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Wameomba mkopo mwingine wanadainikutokana na madhara ya Covid, sijui ni madhara ya kiuchumi au madhara kwa maisha ya binadamu, kule Uganda wananchi wanadai serikali inazika majeneza matupu ili wafadhiliwaone nchi hiyo inakabiliwa na janga la corona ili akina M7 wapate mikopo na pesa kutoka kwa waliotengeneza Corona. Mwendazake alikataa ujinga huu, na pia akina Singh wamekwapua mabilioni wanakuja kulipa milioni.“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Habari ndiyo hiyo,kwa CCM wakikuambia elimu bure inafuatiwa na michango ya dawati,chakula kama mahindi,maharage nk,mtamlipa mlinzi,mpishi na waalimu wakujitolea.Wakisema wanatekeleza mradi kwa fedha za ndani ujue wanakopa toka benki za kibiashara halafu watakuambia kwa kuwa tutalipa kwa kodi zetu hizo zinaitwa za ndani.“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Kupanga ni kuchagua sio lazima miradi yote kwenda sambamba ,ni Jambo la kuchagua kwamba upi umalizike na ufuatiwe mwingine, ili kutoumiza wananchi, tatizo mwendazake alijali watu wake wa karibu na yeye Binafsi basi huku akiwa na agenda ya neno wanyonge na kuwanyonga kweli uku wanyonge wenyewe wakishangilia ,“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Watachukua zile wanazokwenda kumpora Singasinga wa IPTL - Bilioni 26Tirioni 20? ohoooo
HELA IPO!
Kandarasi Fanya kazi usiku na mchana.
Achana na upembuzi yakinifu,tunachelewa ndugu zangu.
NANI MWONGO?