Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Mwenda zake aliacha akikusanya kodi ya shillingi trillioni 1.9,toka ameondoka machi, april makusanyo yamefikia trillioni 1.3,na kwa sa hv hizi mbio za covid zinazoanzishwa tutafikia bilioni mia 800 hadi 900 mwisho wa mwaka.
Wakati katika kila mwezi tunatakiwa tulipie bilioni 700 kwa ajili ya madeni tu.
Mwenda zake aliacha trilioni 9 hazina sasa zipo 6.kazi iendelee
Unamwamini mwendazake?
 
Una uhakika na unachokisema?au umeamua kufurahisha jukwaa
 
Kwa ujumla, awamu ya 5, zaidi ilitegemea ulaghai ili kutafuta kuungwa mkono, hasa na watu wajinga. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuhofia kuwa hata wale wajinga wanaweza kueleimika wakaujua ukweli.
Asante kwa kuweka vizuri hii iweze kueleweka hata na wajinga.
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice)
Akili yako nzito sana kuelewa
 
ni wapumbavu wanakurupuka kufanya mambo bila kufikiria halafu mzigo wa mwisho wanataka abebe mwananchi wa kawaida, wao siku zote walikuwa wanampamba rais aliyekuwepo madarakani ili kulinda ulaji wao kwanini wasipunguze posho zao badala yake wanataka kukamua wananchi.
 
Sio kupunguza tu posho wazifutilie mbali tu mana bado wana mishahara minono halafu kuna watumishi wana mishahara kiduchu na posho hawana.
 
Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini,kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda, mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Umeongea vizuri sana na bila shaka wewe ni Mbunge au Mh fulani.

Na umemtaja hapo anayelipwa sh 5000 kwa siku, hii ina maana huyo unayemuongela hapo anapata wastani wa sh 150,000/= kwa mwezi(kama atapata hicho kibarua kwa siku zote za mwezi), akikatwa kinachotakiwa kukatwa labda atabakiwa na sh 140,000 hivi.

Sasa je, kile mnachopata nyie hata baada ya makato bado mnabaki na 140,000?

Hata hivyo hii kwangu sio tatizo kabisa, tatizo kwangu ni namna nyie mnavyomlazimisha kila Mtu aone/afikirie mambo vile mnavyoona nyie kana kwamba wote tupo kwenye Boti moja.

Hivi leo hii ukinipa hicho unacholipwa wewe kwa mwezi nawe upokee 5000 kwa siku unafikiri nitashindwa kuja na mchanganuo kama huo uliotoa hapo?.

Sipingi kabisa Watu kuchangia ujenzi wa Nchi yao, la hasha.....bali naumia sana kumsikiliza Mnafiki anaye assume kana kwamba wote tunapata maumivu sawasawa.

Ningetamani kuona nanyi pamoja na kutuhimiza Wananchi tujitoe basi nanyi pia mtoe vivyohivyo, yaani ikiwezekana nanyi mbakiwe na bajeti kama zetu.....yaani namaanisha mbaki na hiyo 140,000 kwa mwezi.

Sisi huku hata tusipokatwa senti tano bado tunaishia kusomesha Mtoto ST Kayumba ili hali huko hata mkatwe vipi bado Watoto wenu wote Watano wanasoma Feza Boys.

Mnapotutaka tufunge mikanda hebu mmaanishe usoni mpaka mioyoni.
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Wameomba mkopo mwingine wanadainikutokana na madhara ya Covid, sijui ni madhara ya kiuchumi au madhara kwa maisha ya binadamu, kule Uganda wananchi wanadai serikali inazika majeneza matupu ili wafadhiliwaone nchi hiyo inakabiliwa na janga la corona ili akina M7 wapate mikopo na pesa kutoka kwa waliotengeneza Corona. Mwendazake alikataa ujinga huu, na pia akina Singh wamekwapua mabilioni wanakuja kulipa milioni.
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Habari ndiyo hiyo,kwa CCM wakikuambia elimu bure inafuatiwa na michango ya dawati,chakula kama mahindi,maharage nk,mtamlipa mlinzi,mpishi na waalimu wakujitolea.Wakisema wanatekeleza mradi kwa fedha za ndani ujue wanakopa toka benki za kibiashara halafu watakuambia kwa kuwa tutalipa kwa kodi zetu hizo zinaitwa za ndani.
CCM bila misaada na mikopo hawawezi tekeleza mradi wowote zaidi ya kujimilikisha hazina ya nchi.
Sifahamu hata hizo kodi kama zitapelekwa huko!
 
Waziri wa mapesa anasema hatujamuelea, ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa, hii Tanesco imekuwa ng'ombe wa maziwa ukiangalia unaponunua umeme kuna makato kibao mara VAT mara Ewura na sasa kodi za nyumba, na je wale ambao hawatumii umeme wa Tanesco mtawakataje? inabidi sasa niweke umeme jua na kuwaachia ng'ombe wao wa maziwa.
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Kupanga ni kuchagua sio lazima miradi yote kwenda sambamba ,ni Jambo la kuchagua kwamba upi umalizike na ufuatiwe mwingine, ili kutoumiza wananchi, tatizo mwendazake alijali watu wake wa karibu na yeye Binafsi basi huku akiwa na agenda ya neno wanyonge na kuwanyonga kweli uku wanyonge wenyewe wakishangilia ,

So far miradi yote imeisha ingizwa pesa lazima kuisha ila tu ile yenye tija iwe ccm ipo madarakani au la ,Cha msingi ni utaratibu upi utumike ili kutoumiza wananchi,

Mfano Kama reli tu kukamilika inaitaji tirion 20 ,hii ni almost bajeti ya mwaka mzima cash inayotumika achana na ile ya kwenye karatasi Kama figure tu maana sio yote upatikana KWA mwaka, Sasa tukiamua kuminyana na reli vip si wananchi watalimia meno kwa kodi ambazo zitapelekea hata maisha kua magum?

Twende taratibu mh SSH ,RAIS
 
Ni kweli wakandarasi walikuwa wanachekewa, alitamani aione kazi kabla hajatwaliwa.
Huyu mtu alijua ana siku chache?
HELA IPO!
Kandarasi Fanya kazi usiku na mchana.
Achana na upembuzi yakinifu,tunachelewa ndugu zangu.
NANI MWONGO?
 
Hii ndio shida ya kuazisha miladi mingi mikubwa kwa wakati mmoja wakati uchumi wa nchi ukiwa bado hauruhusu. Kwa hali hii ipo siku kodi ya kichwa itarudi tena maana hawa viongozi wanafanya vitu kwa pupa.
 
Back
Top Bottom