Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Ni mradi gani ulisikia ukikwama kwa awamu ya Tano?
 
CCM NAMBARI WANI
 
Yule dhalimu alikuwa ni muongo wa kutupwa. Hizo data alikuwa anapika.
 
Nilichoshangaa kweli walivyotaka kuharibu mfumo mzuri wa ukusanyaji wa kodi ulikokuwepo, kama kulikuwa na changamoto walitakiwa wazitatue bila kuathiri makusanyo
 
Ni mradi gani ulisikia ukikwama kwa awamu ya Tano?
Reli ya SGR kipande cha Dar-Moro walisema kitakamilika nov 2019, mpaka leo ni porojo tu. Bomba la mafuta ya Uganda walisema litakamilika dec 2020, mpaka leo ni porojo za kusaini mikataba tu.
 
Reli ya SGR kipande cha Dar-Moro walisema kitakamilika nov 2019, mpaka leo ni porojo tu. Bomba la mafuta ya Uganda walisema litakamilika dec 2020, mpaka leo ni porojo za kusaini mikataba tu.
Kwenye mradi kuna changamoto huwa zinatokea zinazopelekea mradi kuchelewa, mfano swala la corona. Chukulia mfano kwenye huo ujenzi kama kuna material wanatakiwa kuzisafirisha kutoka nje.
 
Yaa kwa vipande vyote,Magu ni kimeo sana bora hizi pesa ambazo tayari zimewekwa kwenye sgr ambayo inaweza kukamilika 2030 zingewekwa kwenye barabara tungeshafika mbali sana
Wewe ni chitumbafu cha mwisho! Hivi mbuzi kama nyie huwa mnalia wapi majani?
 
Kwenye mradi kuna changamoto huwa zinatokea zinazopelekea mradi kuchelewa, mfano swala la corona. Chukulia mfano kwenye huo ujenzi kama kuna material wanatakiwa kuzisafirisha kutoka nje.
Anaelewa basi huyo mpumbavu! Nchi hii ina changamoto nyingi sana hasa ukizingatia na hawa wapumbavu wamekuwa wengi; basi taflani!
 
Kwenye mradi kuna changamoto huwa zinatokea zinazopelekea mradi kuchelewa, mfano swala la corona. Chukulia mfano kwenye huo ujenzi kama kuna material wanatakiwa kuzisafirisha kutoka nje.
Nov 2019 corona ilikuwa bado boss. Serikali ile ilikuwa ni ya npika data, hata hao akina Mwigulu wanachoongea sasa ni kutokana na ugumu wa yule dhalimu wa kukopa hovyo na miradi ya kukurupuka.
 
Nov 2019 corona ilikuwa bado boss. Serikali ile ilikuwa ni ya npika data, hata hao akina Mwigulu wanachoongea sasa ni kutokana na ugumu wa yule dhalimu wa kukopa hovyo na miradi ya kukurupuka.
Kwenye mradi wowote kama hujafika site huwezi kujua ni kitu gani kimesababisha mradi kuchelewa. Kuna swala la mchakato kupata vibali linaweza kuchelewesha pia mradi.Hakuna hata mradi mmoja ambao ulisimama, sasa utasemaje wanapika data kama tunaona kwa macho yetu progress ya miradi
 
Ninaomba unywe soda kwa Mama sipendeki nitalipa kwa halopesa.....comment nzuri sanaaaaaa
 
wale wenzetu wagumu kuelewa....sasa bila shaka mtaanza kuelewa. Binafsi nilijua haya big project tuliyoyavagaa mwisho wake ni hatari, nilipenda sana yule jamaa awepo ili aone matokeo ya akili zake....Binafsi nilijua tu mwisho wake, kuzipata hizo hela sio kazi rahisi ndio maana SGR ilikuwa inasuasua maana issue ni malipo....kuendesha mambo kwa uwazi ni jambo zuri sana kuliko ule uhuni matokeo yake mpaka leo wenye uwezo mdogo wa kufikiri walizibeba propaganda..
 
Watachukua zile wanazokwenda kumpora Singasinga wa IPTL - Bilioni 26
Tirion 1 = bilion 1000 kwa hiyo tirion 20 ni sawa na bilion 20000(elfu ishirini) hizo anazolipa mzee wa IPTL bilion 26 ni chache sana kwenye hiyo tirion 20 ya reli..
 
Na inaendelea kweli
 
Pesa ilyobaki inaelekea kuisha tuanze kupiga jalamba
 
Yaani mradi uwe nje ya muda kisha bado useme hakuna mradi uliosimama?. Kama haujasimama kipi kimefanya usimalizike kwa wakati? Hilo neno kuwa mradi unaouna kwa macho ndio neno lililotumika kuwapambaza watu wa aina yako. Ww ndio wale wakiona mtoto wake kavaa uniform na kubeba madaftari, basi wanaamini huko darasani anasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…