Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Ni kweli kua nchi inajengwa kwa mapato ila kuna mambo ya ajabu ambayo sikuwahi kuwaza kuyaona kwa nchi tajiri kwa resources:
-Kupandisha transaction charges za benki kwa user aki draw
-gharama kuwa juu kwa pesa za mitandao
-too much charges kwenye mafuta ie petrol na diesel
- gharama za line

Labda jiulize rasilimali za madini, gesi pekee zinatosha kugharamia miradi mingi tu ila miaka inavyoenda ni kama hakuna kitu upande huo, tatizo nini?
 
Lkn kwa Mwendazake Matajiri wangekiona na kesi za ajabu ajabu zingekuwa nyingi tu hasa za uhujumu uchumi

At least hawa wameamua kuwa wawazi ‘mbesa’ hakuna na miradi iliishaanza kwahiyo tujikamue tu wenyewe kumalizia

Hapa ndo kina Sabaya walikuwa nao wanapigia na pesa zao maana mkuu alikuwa kama ana lazimisha ili mambo yaende kwa ku deal na hasa private sector
mkuu matajiri wengi walopata tabu sana utawala ulopita ni wale walozoeshwa na serikali ilopita kulipa kodi kwa kubargain na kubembelezwa, so jiwe hakuwa mtu wa kubembeleza ndo maana walikumbana na misuko suko
 
miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
Mnataka hela zetu mnatuita wananchi.
Halafu vikishajengwa , wanapanua panua na midomo yao michafu, kwenye uzinduzi kuwa CHADEMA sio wazalendo. Pumbavu.
Leteni katiba mpya ya wananchi wote. sio hii ya CCM tu.
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Mkuu wewe bado umevimbiwa na matango pori uliyolishwa na magufuli? Hivi wakati unasikiwa watu wanasema magufuli alikuwa baba wa uongo,wewe ulikuwa unaelewa nini? Anyway lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako
 
mkuu matajiri wengi walopata tabu sana utawala ulopita ni wale walozoeshwa na serikali ilopita kulipa kodi kwa kubargain na kubembelezwa, so jiwe hakuwa mtu wa kubembeleza ndo maana walikumbana na misuko suko
Ulilishwa matango pori na wewe ukayameza kama yalivyo.JPM kishasema anataka wale waliokuwa wanaishi kama malaika waishi kama mashetani,sasa ili kujustify nia yake hii ulifikiri anfetumia lugha gani kukuaminisha wewe mnyonge uelewa anachokifanya si uovu?
 
Sijui kwanini naona nchi ina ombwe la uongozi nafsini mwangu toka magufuli afariki
 
Pesa ilyobaki inaelekea kuisha tuanze kupiga jalamba
Hakuna nchi ilojengwa ki lelemama hii serkali itatoa visingizio cha project hazitekelezeki kwa sababu ya ugoigoi wa viongozi katika kusimamia nchi! Wanafikiri kuongoza nchi ni kama kuongoza kundi la taarabu!
 
I don't understand....hivi serikali inaposimama halafu mtu anaongea hivyo ana maana gani? Kama ameshindwa kuongoza si aachie madaraka? We want solutions. Haya mambo ya kila mtu analalamika yanatusaidia nini?
 
Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.

Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.

Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Hao vibarua unataka wakatwe zaidi ya PAYE? Mkuu we unafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato?
 
Wabunge nao walipe kodi na wakatwe pesa za pensheni
Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.

Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.

Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
 
Mfuate
Mwenda zake aliacha akikusanya kodi ya shillingi trillioni 1.9,toka ameondoka machi, april makusanyo yamefikia trillioni 1.3,na kwa sa hv hizi mbio za covid zinazoanzishwa tutafikia bilioni mia 800 hadi 900 mwisho wa mwaka.

Wakati katika kila mwezi tunatakiwa tulipie bilioni 700 kwa ajili ya madeni tu.

Mwendazake aliacha trilioni 9 hazina sasa zipo 6.

Kazi iendelee
 
Tujulishwe huko kwenye kuchangia Mawaziri na Wabunge (kwa kuwa wazo limetoka kwao) watakuwa wanakatwa asilimia ngapi kutoka kwenye mishahara na posho zao kwa ajili ya kuchangia kufanikisha hiyo miradi ya maendeleo kabla ya kuanza kuwafinya hawa wabangaizaji wa kawaida wanao struggle ku survive.
 
Acha mawazo mgando wewe, kwa hiyo unaona 2030 ni mbali sana? SGR na Bwawa la umeme Rufiji ni miradi muhimu sana itakayoboost uchumi wa nchi.
Hadithi hizo bora hata mradi wa umeme? Kwa akili yako reli na barabarani kipi kinachochea maendeleo fasta?

Huko lake zone mlikuwa na reli toka enzi za mkoloni mliendelea kwa lipi? Bila mkapa kuwajengea barabara mungeendelea kunuka mavi ya ng'ombe
 
Acha kudanganya watu lini, serikali ilikusanya 1.9? Makadiilio yalikuwa yanakwenda 1.6-1.9 lakini makusanyo halisi yalikuwa kwenye 73%tu, na hiyo mikopo itatuumiza sana miaka mingi, kwani huwezi ukajenga miradi mikubwa hivyo kwa kwenda kukopa kwenye ma bank ya kibiashara ambayo utaanza kulipa riba miezi sita tu toka umekopa, wakati miradi hiyo hadi ianze kujiendesha ni miaka mingi wakati kuna mikopo ambayo nchi itaanza kuilipa baada ya miaka 20!??
Watatafuta mikopo ya bei nafuu kwa mujibu wa Waziri wa fedha baada ya kufanyiwa due deligence ya uwezo wa nchi kulipa madeni maana saizi inaonekana ni nchi masikini inahitaji kusaidiwa.

Ila baada ya kuganyiwa huo mchakato hapo juu itaweza sasa kwenye kukopa kwenye masoko ya mitaji mikopo ya bei nafuu
 
Wewe ni chitumbafu cha mwisho! Hivi mbuzi kama nyie huwa mnalia wapi majani?
Wewe kenge jike kwenu mlikuwa na reli toka mkoloni mliendelea? Huna akili kama lile jinga limwendazake .Kwa hiyo speed ya train ikiongezeka ndio itaongeza kasi ya maendeleo?

Kwa akili yako ya matakoni unadhani barabara na reli kipi kinachochea maendeleo kwa haraka?

Mumshukuru Mkapa aliwajengea barabara mungeendelea kurundikana kwenye matreni kama ng'ombe zizini.
 
“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.

Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.

Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.

My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Mwendazake alikuwa dalali wa maneno,
 
Kwa ujumla, awamu ya 5, zaidi ilitegemea ulaghai ili kutafuta kuungwa mkono, hasa na watu wajinga. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuhofia kuwa hata wale wajinga wanaweza kueleimika wakaujua ukweli.
kodi ya simu imetambulishwa awamu ya sita mama angu acha pombe.
 
Wewe kenge jike kwenu mlikuwa na reli toka mkoloni mliendelea? Huna akili kama lile jinga limwendazake .Kwa hiyo speed ya train ikiongezeka ndio itaongeza kasi ya maendeleo?

Kwa akili yako ya matakoni unadhani barabara na reli kipi kinachochea maendeleo kwa haraka?

Mumshukuru Mkapa aliwajengea barabara mungeendelea kurundikana kwenye matreni kama ng'ombe zizini.
Akili zako hata hazijui nini kinasimamia. Yani unawaza kesho tu.
 
Akili zako hata hazijui nini kinasimamia. Yani unawaza kesho tu.
Wewe unaewaza keshokutwa kuna nini cha maana umechangia zaidi ya pumba? Basi unajiona msooomi kumbe kopo,huko kwenu kuna biashara gani kati ya ukanda huo na ukanda wa Pwani au sehemu zingine za nchi? Hakuna cha maana mnazalisha huko,kinachowabeba ni migodi ikibakia mashimo hakuna kitu mtachangia kwenye uchumi zaidi ya kutia hasara nchi.

Tzn hii kama ni sgr ingejengwa njia ya SADC ndiko kuna mzigo wa zaidi ya 75% sio huko ambako hakuna cha maana mnafanya zaid ya kuzaana kama panyabuku.
 
Back
Top Bottom