Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
mkuu matajiri wengi walopata tabu sana utawala ulopita ni wale walozoeshwa na serikali ilopita kulipa kodi kwa kubargain na kubembelezwa, so jiwe hakuwa mtu wa kubembeleza ndo maana walikumbana na misuko sukoLkn kwa Mwendazake Matajiri wangekiona na kesi za ajabu ajabu zingekuwa nyingi tu hasa za uhujumu uchumi
At least hawa wameamua kuwa wawazi ‘mbesa’ hakuna na miradi iliishaanza kwahiyo tujikamue tu wenyewe kumalizia
Hapa ndo kina Sabaya walikuwa nao wanapigia na pesa zao maana mkuu alikuwa kama ana lazimisha ili mambo yaende kwa ku deal na hasa private sector
Mnataka hela zetu mnatuita wananchi.miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
Mkuu wewe bado umevimbiwa na matango pori uliyolishwa na magufuli? Hivi wakati unasikiwa watu wanasema magufuli alikuwa baba wa uongo,wewe ulikuwa unaelewa nini? Anyway lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Ulilishwa matango pori na wewe ukayameza kama yalivyo.JPM kishasema anataka wale waliokuwa wanaishi kama malaika waishi kama mashetani,sasa ili kujustify nia yake hii ulifikiri anfetumia lugha gani kukuaminisha wewe mnyonge uelewa anachokifanya si uovu?mkuu matajiri wengi walopata tabu sana utawala ulopita ni wale walozoeshwa na serikali ilopita kulipa kodi kwa kubargain na kubembelezwa, so jiwe hakuwa mtu wa kubembeleza ndo maana walikumbana na misuko suko
Hakuna nchi ilojengwa ki lelemama hii serkali itatoa visingizio cha project hazitekelezeki kwa sababu ya ugoigoi wa viongozi katika kusimamia nchi! Wanafikiri kuongoza nchi ni kama kuongoza kundi la taarabu!Pesa ilyobaki inaelekea kuisha tuanze kupiga jalamba
Hao vibarua unataka wakatwe zaidi ya PAYE? Mkuu we unafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato?Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.
Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.
Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.
Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.
Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Mwenda zake aliacha akikusanya kodi ya shillingi trillioni 1.9,toka ameondoka machi, april makusanyo yamefikia trillioni 1.3,na kwa sa hv hizi mbio za covid zinazoanzishwa tutafikia bilioni mia 800 hadi 900 mwisho wa mwaka.
Wakati katika kila mwezi tunatakiwa tulipie bilioni 700 kwa ajili ya madeni tu.
Mwendazake aliacha trilioni 9 hazina sasa zipo 6.
Kazi iendelee
Hadithi hizo bora hata mradi wa umeme? Kwa akili yako reli na barabarani kipi kinachochea maendeleo fasta?Acha mawazo mgando wewe, kwa hiyo unaona 2030 ni mbali sana? SGR na Bwawa la umeme Rufiji ni miradi muhimu sana itakayoboost uchumi wa nchi.
Watatafuta mikopo ya bei nafuu kwa mujibu wa Waziri wa fedha baada ya kufanyiwa due deligence ya uwezo wa nchi kulipa madeni maana saizi inaonekana ni nchi masikini inahitaji kusaidiwa.Acha kudanganya watu lini, serikali ilikusanya 1.9? Makadiilio yalikuwa yanakwenda 1.6-1.9 lakini makusanyo halisi yalikuwa kwenye 73%tu, na hiyo mikopo itatuumiza sana miaka mingi, kwani huwezi ukajenga miradi mikubwa hivyo kwa kwenda kukopa kwenye ma bank ya kibiashara ambayo utaanza kulipa riba miezi sita tu toka umekopa, wakati miradi hiyo hadi ianze kujiendesha ni miaka mingi wakati kuna mikopo ambayo nchi itaanza kuilipa baada ya miaka 20!??
Wewe kenge jike kwenu mlikuwa na reli toka mkoloni mliendelea? Huna akili kama lile jinga limwendazake .Kwa hiyo speed ya train ikiongezeka ndio itaongeza kasi ya maendeleo?Wewe ni chitumbafu cha mwisho! Hivi mbuzi kama nyie huwa mnalia wapi majani?
Mwendazake alikuwa dalali wa maneno,“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
kodi ya simu imetambulishwa awamu ya sita mama angu acha pombe.Kwa ujumla, awamu ya 5, zaidi ilitegemea ulaghai ili kutafuta kuungwa mkono, hasa na watu wajinga. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya yeye kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na uhuru wa vyombo vya habari, kwa kuhofia kuwa hata wale wajinga wanaweza kueleimika wakaujua ukweli.
Akili zako hata hazijui nini kinasimamia. Yani unawaza kesho tu.Wewe kenge jike kwenu mlikuwa na reli toka mkoloni mliendelea? Huna akili kama lile jinga limwendazake .Kwa hiyo speed ya train ikiongezeka ndio itaongeza kasi ya maendeleo?
Kwa akili yako ya matakoni unadhani barabara na reli kipi kinachochea maendeleo kwa haraka?
Mumshukuru Mkapa aliwajengea barabara mungeendelea kurundikana kwenye matreni kama ng'ombe zizini.
Wewe unaewaza keshokutwa kuna nini cha maana umechangia zaidi ya pumba? Basi unajiona msooomi kumbe kopo,huko kwenu kuna biashara gani kati ya ukanda huo na ukanda wa Pwani au sehemu zingine za nchi? Hakuna cha maana mnazalisha huko,kinachowabeba ni migodi ikibakia mashimo hakuna kitu mtachangia kwenye uchumi zaidi ya kutia hasara nchi.Akili zako hata hazijui nini kinasimamia. Yani unawaza kesho tu.