Acha ujinga wewe ...ulizoea kudanganywahawa wameamua kutafuta kichaka cha kutukamulia, sidhani kama hata angekuepo mwendazake wangekuja na hii ajenda mfu.
Sisi sio kwamba hatutaki kuchangia,tatizo ni viongozi kutudanganya utazani hayo madeni watalipa wao.Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.
Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.
Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.
Katuachia deni kubwa sana la Trillion 31 katika kipindi cha miaka 5 tu,inakaribia jumla ya madeni yalioachwa tokea Raisi Nyerere, Mwinyi,Mkapa,Kikwete .Mwendazake alikua mtu wa fix sana
Mwendazake alikua mtu wa fix sana
what went whaaati?What went wrong??
Na pia kiwango cha ujinga walicho kiingiza vichwani mwa watu ni sawa na maradhi ya yasiyo na Tiba Tungejitambua japo robo haya yasingetokea
Yupo udongoniHuku walisema wanatekeleza kwa cash, leo imekuwaje tena? wapuuzi sn hawa.
Alikuwa anakusanya kodi,au alikuwa anaingia kwenye account za watu anapora fedha?Mwenda zake aliacha akikusanya kodi ya shillingi trillioni 1.9,toka ameondoka machi, april makusanyo yamefikia trillioni 1.3,na kwa sa hv hizi mbio za covid zinazoanzishwa tutafikia bilioni mia 800 hadi 900 mwisho wa mwaka.
Wakati katika kila mwezi tunatakiwa tulipie bilioni 700 kwa ajili ya madeni tu.
Mwendazake aliacha trilioni 9 hazina sasa zipo 6.
Kazi iendelee
Ile serikali ya marehemu ili inaongozwa na uwongo mwingi sanaHuku walisema wanatekeleza kwa cash, leo imekuwaje tena? wapuuzi sn hawa.
Usije mwamini mwanasiasa maishani hili ni funzoHuku walisema wanatekeleza kwa cash, leo imekuwaje tena? wapuuzi sn hawa.
Wasimamishe ujenzi.“Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa kama nipige tafu, hatukuweka hivyo”, alieleza Dkt. Nchemba.
Alibainisha kuwa haimaanishi kwamba shilingi 10 sio mzigo lakini Serikali iliangalia matatizo yaliyopo na kugundua kuwa yanagharimu zaidi, kuliko thamani ya shilingi 10 itakayotozwa kama kodi.
Alifafanua kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchi ukiwemo wa mradi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere ambao unahitaji zaidi ya shilingi trililioni nne na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaohitaji zaidi ya shilingi trilioni 20 ili kukamilika, iwapo fedha zote zitategemea mikopo nchi itapitiliza uwezo wa kukopa na kutokukopesheka hivyo ushiriki wa wananchi ni muhimu.
My Take:
Leo mmeamua kutuvisha zigo la kujenga Reli na Bwawa la Stiegglers kupitia simu zetu wakati mlituambia fedha ipo na mipango ilikuwa tayari mezani. What went wrong?? (In Dk Mpamire`s voice).
Railway Levy inahusisha maingizo ya Magari, je hayo magari yanayoingizwa yanaweza gharamia?Kodi ya Railway Levy haitoshi au kazi yake nini??
Hiyo miradi ilianzishwa kwa ngebe sanaHata kwenye gesi tuliambiwa uongo unaozidi huu. Muda ulipofika mkaumbuka
Ndicho wanacho maanisha,kwani serikali ina biashara gani kwamba itafanya kwa fedha zake,unapoambiwa hawahitaji kukopa zaidi maana yake pesa hiyo itapatikana kwa njia ya kodi na hiyo ndio maana yapesa zetu wenyewe. Kwa maana nyingine pesa za serikali ni fedha inayotokana na kodi,gawio na tozo hiyo ndio biashara ya serikali.Huku walisema wanatekeleza kwa cash, leo imekuwaje tena? wapuuzi sn hawa.
Haswaaa umepiga nakos ya utosi watanzania tulizoeshwa kutembeza bakuri matonya staili,hatupendi kuwajibika kwa maendeleo yetu wenyewe. LAZIMA TULIPIE MAENDELEO YETU HAKUNA NAMNA.Nchi inajengwa na mwananchi mwenyewe, nashauri waziri kila Mtanzania ana wajibu wa kulipa kodi ili kujenga nchi yake,uangaliwe utaratibu wa day worker au vibarua wa viwandani,migodini.
Kwenye miradi mbalimbali ya serikali na binafsi nao wanawajibu wa kulipa kodi kama analipwa 5000 kwa siku akikatwa hata 200 inatosha ajira zisizo rasmi zina watu wengi kushinda hata watumishi walio kwenye ajira rasmi, utekelezaji wake ni simple tu kila kiwanda.
Mgodi, au kwenye mradi wowote mkubwa lazima wawe na rekodi ya vibarua wao walio fanya kazi kwa kila siku na kiasi wanachowalipa na wakati wa kuwalipa wanakata kodi kabisa TRA wapo makini sana hii kazi haiwezi kuwa ngumu kwao, nchi za ulaya viwandani hii imeshazoeleka.