Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
- Thread starter
-
- #41
Kuna watu uwezo wao tunaujua vizuri. Hapa Mama atakwama sana, huyu jamaa angebaki kua mbunge wa kawaida tu.Hili lofa limedhihirisha kuwa halifai kazi hii liondoshwe tu. Utabiri umetimia.
Wizara hii inamfaa Prof Adolph Mkenda, aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu pale kati ya 2011-15Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?
Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.
Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.
Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Ndio mmilik wa Esther kumbe?Sanasana mabasi ya esther yataongezeka barabarani na singida united itarudi ligi kuu, kwa wizi nasikia yuko vizuri
Mwigulu Nchemba hawezi kufika September akiwa Waziri wa Fedha. Hana uwezo wa kazi licha ya kuwa na PhD, worse enough ana majibu ya kuharishaNimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?