field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Nukuu ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Jumamosi, Mei 23, 2026 alipozungumza na wananchi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Kichangani mkoani Iringa:
“Wanaotumika kwenye ukibaraka, wanaohangaika na vyeo tusipotezeane muda, kwangu kubwa ni kushughulikia kero za Wananchi, ndicho Katiba imenituma, ndicho Rais amenituma
“Tusipotezeane mud ana wala tusichafue taasisi zenye heshima, KKKT, KKKT.
“Wananchi wana mahitaji ya lazima ambayo wanataka serikali yao ifanye, siyo madaraka, nani kawaambia Madaraka niliyonayo ni madogo, ebu wasome Katiba wapumbavu hawa, wasiojua wasome Katiba.
“Nimepewa majukumu, Waziri Mkuu ndiyo atakuwa na madaraka ya juu ya udhibiti, usimamizi wa shughuli za kila siku za Serikali, usimamizi wa shughuli za Serikali Bungeni na kutekeleza maelekezo yote ambayo Rais atatoa, mtu mwenye akili timamu Katiba ikishakupa hivyo na wewe ndio umeteuliwa utawaza madaraka wanayowaza hao vibaraka!”
Huna quality mbwa wewe. Wenye madaraka hawatambi namna hiyo. Unamtishia nani na wizi wako, nani kakuchagua kuwa mbunge fala wewe na muuaji mkubwa wewe. Mikono yako na ya hawara yako Samia mikono yenu imejaa damu mbwa ninyi. Mmeua watanganyika zaidi ya 10,000. Hatukuwachagua mafisi ninyi.