Dkt. Mwigulu Nchemba amtangaza mrithi wake jimboni

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
278
Reaction score
255
Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.

Your browser is not able to display this video.
 
Ikifika msimuu huo jina lake halitoandikwa tu kwenye mawe hadi kwenye lamiii

ila wajumbe watu wabaya sanaaaa...usishangae akaenguliwa ndani ya dakika 5 za mchakato
 
Na usishangaye huyo dada akaja kurithi Jimbo kweli. Maana majimbo yashageuka kuwa falme za watu. Wadanganyika amkeni.

Imetokea sehemu nyingi
-Samweli Sitta kamruthisha mkewe
-Profesa nani nani huko Iringa aliwahi kuwa waziri wa fedha alipofariki mtoto kapewa Jimbo

Na wengine wengi
 
Mambo ya kumpapasa bega tena?

 
Ila dada mwenyewe hawezi hata kujieleza! Kazi vijembe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…