Dkt. Mwigulu Nchemba amtangaza mrithi wake jimboni

Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.

View attachment 2112131
Sijui kwa nini nimemkumbuka marehemu filikunjembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh kuna wa kumrithi kweli manake anaogopwa kweli kweli!
Atajichanganya ndipo utakuwa mwisho wake kama makonda akaacha u RC akafata ubunge akachezea, huyu nae eti ana mawazo ya kugombea uraisi nani ampe huyu dikteta.ashachafuka nani atampa huo uraisi
 
Mleta uzi yupo sahihi - kwenye mikutano ya kisiasa kama hiyo hupaswi kuongea kilugha kwani unaweza kuleta tafsiri unausema vibaya uongozi wa juu yako! Kuwa makini!
Kwa mtu ambaye ana nia njema na viongozi wake wa ngazi za juu, hawezi kuwa na wasiwasi huu unaousema wewe hapa, especially anapokuwa katika mazingira ambayo ni ya nyumbani na kuna baadhi ya watu wanaweza kuwa hata hawako fasaha na lugha ya Kiswahili.

Zaidi ni kwamba system ya nchi inazijua lugha zote zinazoweza kuongewa duniani, hata kama mtu angeongea kichina. Kwa hiyo mtu aliye na notion kwamba akiongea kilugha kwenye maeneo ambayo ni ya nyumbani ataonekana kuwa anawasema vibaya viongozi wake wa juu, ujue huyo huwa anawasema vibaya pale anapokuwa na nafasi ambayo anakuwa anajua kuwa hawezi kujulikana. Kwa yule ambaye huwa hawasemi vibaya, anaweza kuongea akiwa huru kama alivofanya hapa Mh. Waziri. Huyu kiongozi huwa yuko wazi sana na watu walio wazi mara zote huwa siyo wanafiki.

By the way, aliyeleta mada alisema Mh waziri ameongea bila kuona AIBU na hajasema kuwa ameongea kilugha bila KUOGOPA
 
Unajitetea kweli kweli! Acha ikae hivyo hivyo wasomaji watatafsiri
 
Acaha ikae hivyo hivyo!
Mimi ndiyo zangu hizi hasa pale inapotokea nimemuona mtu ambaye namfahamu na tunaongea lugha moja ya kuzaliwa. Hata kama tuko mita 20 apart na ni katikati ya jiji la Dar es Salaam, utawaona wazaramo wanasitisha kwanza vikao vyao vya kahawa halafu wanaanza kuonyeshana BABU yetu ngosha yule anaongea na mwenzake
Huwa ninapata furaha sana inapotokea nimepata golden chance kama hii....... kuwatambia sana wazaramo!
 
Safi Ngosha! Acha we uwe hivyo hivyo!
 
Back
Top Bottom