Dkt. Mwigulu Nchemba amtangaza mrithi wake jimboni

Huyu dada namjua niliwahi kumwona Ilala ni Mjasiriamali , akipeewa anafaa kuliko hata Mwigulu mwenyewe
 
Ulitaka aone aibu kuongea lugha yake ya kuzaliwa? Wewe huwa unaona aibu kuongea lugha yako ya kuzaliwa? Kwa nini?
 
Inamaana huyu baba yeye keshaona njia iko wazi kwake kuingia magogoni
 
Ulitaka aone aibu kuongea lugha yake ya kuzaliwa? Wewe huwa unaona aibu kuongea lugha yako ya kuzaliwa? Kwa nini?
Mleta uzi yupo sahihi - kwenye mikutano ya kisiasa kama hiyo hupaswi kuongea kilugha kwani unaweza kuleta tafsiri unausema vibaya uongozi wa juu yako! Kuwa makini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…