Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao ndo wanaotoa elimu ya walipa kodi?
Mi ndio maana sionagi sababu ya kusoma mpaka nipate PhD maana hata wenye nazo naonaga hawaeleweki nahisi kuna uchawi huko kwenye elimu za juu
Usiwe na wasi wasi mzee; kuna Ph.D na Ph.D, na unaweza kupata mojawapo au nyingine.

Unaweza kuwa na Ph.D ya Dr. Remmy Ongara au Ph.D ya Dr. Henry Kissinger
 
Atashawishi ma-kahaba wenzake....

Sina tatizo la yeye kushawishi au sibishi kama anaweza kushawishi..., tatizo ni tunampa ngapi ili ashawishi ? Tusije kuwa tunatoa 1000/= ili kupata 100/=
Tatizo langu lipo kote. 1: Hana sifa ya kuweza kupewa kazi kama hiyo. Anafanya kazi gani na amelipa kodi kiasi gani? 2. Tatizo la watanzania siyo mtu wa kuwashawishi kulipa kodi bali tatizo liko kwenye kodi siyo rafiki kulingana na hali ya maisha 3. Matumizi ya kodi ni mabaya na raia hawaoni faida ya kulipa kodi. Imagine kodi tunayolipa ndiyo inakwenda kupunguzwa ili kumlipa kahaba kama huyu au kulipa ma-DC wasio na kazi yoyote. Nini kifanyike: System yote ya utozaji kodi ifanyiwe overhaul ili wananchi wavutike kulipa kodi. 2. Nafasi zisizo na umuhimu zote hasa za kisiasa na hizi za kuteuliwa zifutwe ili kodi inayotumika kuwalipa iende kwenye shughuli nyingine muhimu. 3. Ufisadi kama huu anaofanya Mwingulu wa kuteua watu hovyo hovyo upigwe vita na serikali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao ndo wanaotoa elimu ya walipa kodi?
Mi ndio maana sionagi sababu ya kusoma mpaka nipate PhD maana hata wenye nazo naonaga hawaeleweki nahisi kuna uchawi huko kwenye elimu za juu
Elimu ya juu ipo vizuri, shida inakuja baada ya anayehitimu kujiunga na CCM!
 
Watu serious, wanaojielewa hawatakiwi kwa sasa.......
Kuna nchi zingine pia hazitaki wananchi wao wawe na uelewa,
Kuna kitu muda tu kimeanza sijui kama umekigundua,yaani ni bongo fleva mwanzo mwisho kuanzia kupigwa kwenye media mpaka matamasha yapo kila mara????
Ukichunguza vizuri utanielewa nachomanisha

Ova
Mrangi ndugu yangu tumefika sehemu mbaya sana sana. Yaani watu wenye akili Tanzania ni marufuku sasa hivi. Hawa waoaishi kwa ujanja ujanja wengine mpaka ni makahaba ndiyo wanapewa mambo muhimu.
 
Mrangi ndugu yangu tumefika sehemu mbaya sana sana. Yaani watu wenye akili Tanzania ni marufuku sasa hivi. Hawa waoaishi kwa ujanja ujanja wengine mpaka ni makahaba ndiyo wanapewa mambo muhimu.
Ndomana nkasema watu smart,wanaojielewa hawatakiwi maana wanaweza kuwa kikwazo kwenye kazi huko mbele

Ndomana atafutwa mtu yoyote hana uzoefu anapachikwa tu

Ova
 
JamiiForums-460750266.jpeg
 
Nawasalimia kwa jina la Muungano. Kazi izorote tuendelee KUDEMKA 😂😂😂
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
 
Kodi ina mambo matano tu makuu ili kuwafanya watu walipe wakiwa na furaha.
1- Haki (Fairness)
2-Utoshelevu(adequacy)
3-Urahisi( Simplicity)
4-uwazi( Transparency)
5- Urahisishaji ( Administrative ease)

natumaini tafsiri ni sahihi sasa ni wajibu kuyafanyia kazi moja baada ya moja je haki itapatikana kwa mipango ipi na mengine tufanye vipi tuyafikie ili ulipaji wa kodi uwe ni jambo na kujivunia kuwa na record safi ni kama mwisho mwa mwezi unapokuwa na furaha kujuwa umelipa bill zako zote huna deni. Kampeni bila kufanyia kazi mambo ya msingi kabisa hakuwezi kuwa na tija.
 
Huyu waziri sasa anazingua amedeta, hivi hao wana elimu ya kodi??. Au anataka kupoteza pesa za wananchi? Kumbuka hao lazma walipwe. Kodi inataka ujuzi na sio usupastaaa sasa hao wataelimisha nn walipa kodi[emoji23][emoji23].

Nimecheka sana, wanawajua walipa kodi vzr hawa? Nawasubir kwa hamu niwapige maswali mpaka wajute.

Huyu waziri hii nafasi anaforce ina wenyewe
 
TRA ina maana hakuna watalaam wa kodi wakatao weza kufanya shuguli hii

Au ndiyo yale mambo ya aliyekuwa utalii aliwakusanya bongo mv akaenda nao misituni
Huko ku promote utalii

Ova
 
Jiulize watoto wanashika vizuri miziki yote ya bongo flava kuliko mambo yao ya darasani???

Hizi comment zangu hapa mtu mwingine anaweza puuzia lkn ukiingalia kwa upana
Na uelewa,utajua naamanisha nini

Ova
Sasa mtoto anaishi nyumba ya kupanga na katika hiyo nyumba chumba kimoja mama mwenye nyumba ana baa bubu na mziki ni 24 hours.
 
Back
Top Bottom