Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Mwigulu anawatoa watanzania wasijadili hoja za msingi kama kodi za LUKU na line za simu badala yake mjadili watu kama Mobeto na Kumwembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulisema humu ngoma ya watoto haikeshi,huyu Mama alivyopata urais kaanza kuponda misingi aliyoikuta ya ukusanyaji wa kodi,kaanza nakutukana TRA kuwa hawatumii weredi ktk kukusanya kodi, wakati hata Ulaya anakotegema msaada hawabembelezi Mtu/wafanyabiashara kulipa kodi,yeye eti watu walipe kodi kwa hiyari.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Mwigulu Yuko sahihi kutafta hawa watu maarufu na influencer kutumika kutoa elimu kwa walipa Kodi, ni Rahisi ma slay queen kumwelewa mobetto kulko prof wa udsm Tena hamisa ana huge followers, samatta na yeye pia ana follower's wengi na watu humfatilia pamoja na mpira.
Tusiwe Pinga Pinga wa kila jambo
Kwa taarifa yako, waliosoma ndio wajinga zaidi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao ndo wanaotoa elimu ya walipa kodi?
Mi ndio maana sionagi sababu ya kusoma mpaka nipate PhD maana hata wenye nazo
Unaanzaje Kulinganisha Joketi na Mobeto Kaka, Hapa Ni Sawa Na Kulinganisha Kitambi na MimbaHayati alipomchagua jokate kuna binadam walitoka mapovu sana, lakini sahvi wanasifu juhudi za jokate, acha tuone na huyu muda utaongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amemsahau Pierre,giggy nao wangefaa
Ova
Kabisa yaani.Tungekua serious hizi nafasi zingeshindaniwa na wanafunzi IFM