Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Tulieni mfundishwe jinsi ya kulipa kodi, mbona polepole aliwafundisha trilions 1.5 zilipokwenda na mkaelewa🤣🤸🐒
download (2).jpeg
 
Sasa mtoto anaishi nyumba ya kupanga na katika hiyo nyumba chumba kumoja mama mwenye nyumba ana baa bubu na mziki ni 24 hours.
Hapo sasa inategemea unaoishi nao wako vp

Wengine sisi tumekulia uswaziii,chakula unakula kwa kupigiwa kengere, chai mkono mmoja

Sasa hapo we kujiongeza

Ova
 
Nchi hii kuna watu wanapewa ulaji kiubwetebwete tu

Mtu anamka asubuhi utaona fulani kapewa ulaji

Ova
 
Heeee haya ni ya kweli Mh Mwigu? Mbona unatuweka pabaya jamaa yangu?

Enewei tutii mamlaka yaliyo juu yetu.
Huu ni ujinga kwa hiyo mtu akifanya ujinga wake kwa kuwa ni kiongoz tutii bas??
 
BC772E89-9312-4CE7-A4DF-50635C3A90BF.jpeg

Hamisa atatuelezea kuhusu double taxation of tax,tax evasion,tax avoidance,direct and indirect tax,why VAT bara is different from Zenji na mengine mengi wakisaidiana na Samatha na Mtangazaji maarufu wa Michezo
 
Acha kudharau na kuharibu ugali wa wenzio. Kwa taarifa yako, Misa alifaulu darasa la saba na kusoma sekondari ya serikali. Ana akili kuliko wewe, hawezi shindwa kuamwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa lao.
Wanaelimisha nini?Mama alisema watu/Wafanyabiashara waachwe wasibuguziwe,walipe kodi watakavyo jisikia,hata mapato yakishuka yatakujaga kupanda,wakiaanza kulipa kwa hiyari,😃😃😃
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
 
Hili nimeliwaza sana, with no disrespect Mobeto na Wenzake Wanaelewa nini kuhusu income Tax Act and Tax Administration act, maswala ya kodi yanakwenda kisheria pia.

Kwa nn tusitumie vijana waliosoma chuo cha kodi pale mwenge tukawawezesha wakatoa elimu ya mlipa kodi?
 
View attachment 1826481
Hamisa atatuelezea kuhusu double taxation of tax,tax evasion,tax avoidance,direct and indirect tax,why VAT bara is different from Zenji na mengine mengi wakisaidiana na Samatha na Mtangazaji maarufu wa Michezo
Usanii unapoingizwa kwenye mambo ya msingi tutarajie anguko. Hata kama ni mpango mkakati lakini sio hivi..! Niliona na Kaka yangu Jaffo amewachagua mabalozi wa mazingira hao hao wanaoitwa wasanii. Sijaona walichokifanya mpaka sasa tangu amewatangaza
 
Hoja Yangu Ni Kwamba, Ni kwa namna gani post za Hamisa zitawafanya Wafanyabiashara wahamaisike kulipa kodi?

Ni taifa gani lilitumia hii njia ili kufanikisha zoezi la Tax Compliance na ikafanikiwa kiasi kwamba nasi tunaona kuna umuhimu?
 
Mwigulu Yuko sahihi kutafta hawa watu maarufu na influencer kutumika kutoa elimu kwa walipa Kodi, ni Rahisi ma slay queen kumwelewa mobetto kulko prof wa udsm Tena hamisa ana huge followers, samatta na yeye pia ana follower's wengi na watu humfatilia pamoja na mpira.
Tusiwe Pinga Pinga wa kila jambo
 
Back
Top Bottom