Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Sikia HiiWakati mwingine unawaza hivi viongozi wetu wanatumia akili zao au kuna kiungo mbadala wanakitumia kufikiria tofauti na kichwa.....??
Nchi Ina Wajinga Wengi Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikia HiiWakati mwingine unawaza hivi viongozi wetu wanatumia akili zao au kuna kiungo mbadala wanakitumia kufikiria tofauti na kichwa.....??
Nacho fahamu before Jokate kupata teuzi alikuwa public figure, na kama ilivyo kwa hamissa.Unaanzaje Kulinganisha Joketi na Mobeto Kaka, Hapa Ni Sawa Na Kulinganisha Kitambi na Mimba
yaaani . what in the hellWakati mwingine unawaza hivi viongozi wetu wanatumia akili zao au kuna kiungo mbadala wanakitumia kufikiria tofauti na kichwa.....??
Public Figure mwenye Elimu na brain KubwaNacho fahamu before jokate kupata teuzi alikuwa public figure, na kama ilivyo kwa hamissa.
Usifananishe degree holder na huyo form four failure wa Tandale Secondary School! Jokate was a learnt sister ambaye baba yake alishahudumu katika system so ana ka exposure flani !Nacho fahamu before jokate kupata teuzi alikuwa public figure, na kama ilivyo kwa hamissa.
😄 😄 kwamba Hamissa akili?Public Figure mwenye Elimu na brain Kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mtoto anaishi nyumba ya kupanga na katika hiyo nyumba chumba kimoja mama mwenye nyumba ana baa bubu na mziki ni 24 hours.
hahahahah Hapa msukuma ndipo anapo pataga credit na kuwaponda wasomi....... Hivi kwanini hii kazi wasipewe vijana wa cha kodi hapo mwenge waka ambatana na wasanii wakawa hamasisha watu umuhimu wa kulipa kodi.... aiseee hii haijakaa vyema kabisaWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Amekosa vijana waliosoma uchumi udsm?.
Amekosa wafanyabiashara wa kati wenye influence kwenye jamii
Ata Mimi anganiteua hii kazi ningeifanya vizuri sana maana nalipa kodi kwa mwaka sio chini ya million 50.
Sometimes elimu sio kigezo tosha cha kupima uelewa na ufahamu wa mtu. kuna wasomi kibao mfano viongozi wetu wenye elimu kubwa kubwa lakini when it comes to discernment unaweza sema afadhari ya darasa la tatu BUsifananishe degree holder na huyo form four failure wa Tandale Secondary School! Jokate was a learnt sister ambaye baba yake alishahudumu katika system so ana ka exposure flani !
Watu hawaelewi kwamba apo ameangalia watu wenye fan base kubwa kuna watu kwa kuona sura ya mobeto watalipa kodi bila shurutiNyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Hii ndo nimewahi kuisemea. Kuna watu wajinga kiasi kwamba hata kujinyonga hawawezi! Mwigulu anasemekana ana PhD. PhD inaweza kuwa kwenye kichwa kibovu kiasi hiki? Ni tatizo sana.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
View attachment 1826511
Mbwana Samatta
View attachment 1826514
Hamisa Mobetto
View attachment 1826517
Edo Kumwembe
Exactly.Watu hawaelewi kwamba apo ameangalia watu wenye fan base kubwa kuna watu kwa kuona sura ya mobeto watalipa kodi bila shuruti
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Hawa wana utaalam gani wa kuelimisha wananchi masuala ya kodi? Nonsense!Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Naamini ni njia ya umalaya tu! Wanawahonga mabinti ili watafute mahusiano. Tumerudi enzi za kuambiwa ndege ya serikali imemfuata hawala wa kiongozi. Au kiongozi anaelekea Mwanza kukutana na hawala yake. Shame!Wakati mwingine unawaza hivi viongozi wetu wanatumia akili zao au kuna kiungo mbadala wanakitumia kufikiria tofauti na kichwa.....??
Magufuri hoyeeeeeee mi saba tena, tutaandamana nchi nzima, tutamuongezea muda stake asitakeMi 10 tena kwa mother
Kwenye hiyo fan base yake walipakodi ni asilimia ngapi?Watu hawaelewi kwamba apo ameangalia watu wenye fan base kubwa kuna watu kwa kuona sura ya mobeto watalipa kodi bila shuruti
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377