Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Eti Samata, amemuona wapi? Anawahamasisha watanzania kwa njia gani? Mwigulu buana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ebu Toa Elimu Kwenye Hyo last paragraph ya Andiko Lako [emoji120][emoji120]Hakuna mfanyabiashara asiyejua umuhimu wa "kodi" lakini kodi ni kitu ambacho kinachukiwa na kila mtu duniani, awe ni msomi au kanjanja.
Kodi haijawahi kupendwa na yeyote yule na ndiyo maana inapojitokeza mianya ya kukwepa kodi basi watu huikwepa kodi.
Mwigulu ulitakiwa kuweka nguvu kubwa kwenye kuziba na kupambana na mianya ya ukwepaji kodi.
Swala la kodi siyo la kubembelezana hata kidogo. Wekeni utaratibu ambapo kila mfanyabiashara atakatwa kodi automatically bila ya kufuatana fuatana.
Hii nchi maajabu mapya kila siku. Tunamaliza hili,linaibuka lile[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] but why?Ila Tanzania tunachekesha sana sana! Basi wacha nikae kimya.
Nilitaka nikupe like mbili bahati mbaya tu...Usifananishe degree holder na huyo form four failure wa Tandale Secondary School! Jokate was a learnt sister ambaye baba yake alishahudumu katika system so ana ka exposure flani !
Mbowe je? Lissu naye hatakiwi?Huyo akishakufa!
Sasa hivi sisi bavicha tunasema mi 10 tena kwa mother ili kuwajibu mataga
Hizo ni Ph.D zinazotokana na njaa ya waalimu wa vyuo vikuu. Nakuhakikishia Mwigulu ana Ph.D ya kulipia. Aliyehangaikia Ph.d. hapa Bongo, akaimaliza hawezi kuwa na udhifu wa kufikiri kiasi hiki. Jamaa hawa wamegundua urafi wa maprofesa. Anajisajili na kutoa pesa za kutosha. Tangu adniko la kwanza hadi la mwisho yeye ni kuandikiwa na kuitwa kuweka sahihi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao ndo wanaotoa elimu ya walipa kodi?
Mi ndio maana sionagi sababu ya kusoma mpaka nipate PhD maana hata wenye nazo naonaga hawaeleweki nahisi kuna uchawi huko kwenye elimu za juu
Katika kutafuta ulipaji wa kodi kwa njia hiari, Mh. Nchemba angejitahidi wizara yake itengeneze mfumo rafiki wa ukusanyaji wa kodi mbalimbali ambao uknaweza kusimamiwa vyema na TRA. Kwanza, wizara yake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa kodi wangeweza kuisaidia TRA katika kufanya "research & development" ili kupanua wigo wa kodi hapa nchini katika sekta rasmi na ile isiyo rasmi.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Ungetoa tu mzee wala sikataagi likes maana nazigawaga ka njuguNilitaka nikupe like mbili bahati mbaya tu...
Nisamehe mkuu, ila naomba niseme tu "Wewe Ni Fala Sana"Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Unamchukua Mohammed Ally unamweka kwa Michael Jackson and vice versa....CatastropheAisee dah.. inasikitisha sana kwakweli, tuna safari ndefu sana sana, nikiwafikiria kitaa raia wamemaliza chuo wanasota tu, hela zinapelekwa kwa wapaka poda wakatoe elimu ya kodi, kodi kabisa unamteua Hamissa Mobetto akafundishe kodi? Aisee
eti tuna mpango wa kuendelea kufikia uchumi wa juuAmisa atakuwa tayari kabunjuliwa hapo!
Na mwishowe utasikia DC kishapu
Bado kipo chiefWe mjinha elimu ya mlipa kodi ni taaluma na TRA wana hicho kitengo, unless kama kimevunjwa
Sasa Mabwana yuko likizo kwa mwe moja tu unamteua. Sasa hiyo kazi atazifanya lini su ndiyo mwenye nacho huongezewa.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Richard KayomboTena mkuu wa kitengo anaitwa somebody Kayombo if am not mistaking.