Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Waafrica hatuna utamaduni wa kujiuzuru.Bodi itashurutishwa kuachia ngazi, then Derby ipo pale pale !
Mtakuwepo wewe na nani?Shikilia hapo hapo Mwana Uto.
Bodi ya Ligi leteni marefa sisi tutakuwepo
"Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC
"Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa wanataka kuturudisha zile enzi za mpira kushona.Kwenye enzi hizo nayekuja na mpira hamruhusiwi kumkaba,na mkitaka kumkaba tu anaondoka na mpira wake.Halafu huo mpira ikichezwa haiuishi hadi yule aliyekuja mpira timu yake ashinde mchezo-Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC"
[/QUOTE
Na Bodi ya Ligi.Mtakuwepo wewe na nani?
Hakuna wa kumponza Karia Utopolo nyieKinacho mponza Wallec Karia ni Kiburi na kuhisi Yeye ndie mwenye mpira.
Hajui yupo pale kwa dhamana ya watanzania.
Huwezi kupora haki ya Yanga ili uinufaishe Simba lazima Matokeo yake yata kutafuna tu iyo ni (Karma ) Haipepesi.
Kwa Sasa Simba Bado hana timu ya kuifunga Yanga, kama unadhani ni jambo rahisi, Mungu ajaalie tukutane kwenye CRDB final utaelewa Nini na maanisha.Hakuna wa kumponza Karia Utopolo nyie
Mtacheza tu.
Hapo mnawekwa tu sawa kisaikolojia.
Umewasikia wapi Simba anawapa maneno mazuri Yanga ili wacheze?
Alianza Ally Kamwe kuleta huu utopolo wa kubembelezwa
Sasa kaja Mwigulu.
Mwisho utasikia Simba na Bodi wametubembeleza tumeamua kucheza.
Hakuna wa kuwabembeleza zaidi ya ratiba ya Dabi.
#Mtacheza Tu
Jaribu kuficha ujinga wakoKinacho mponza Wallec Karia ni Kiburi na kuhisi Yeye ndie mwenye mpira.
Hajui yupo pale kwa dhamana ya watanzania.
Huwezi kupora haki ya Yanga ili uinufaishe Simba lazima Matokeo yake yata kutafuna tu iyo ni (Karma ) Haipepesi.