Dkt. Mwigulu Nchemba: Dhidi ya Simba hata mtusifie hatuchezi mpaka mambo yetu yasikilizwe

Hatuchezi na timu zinazo kimbia kimbia
 
Hatuchezi na timu zinazo kimbia kimbia
#Mtacheza tu

Na hatuwambembelezi kama mademu mideko.

Mkicheza tuna point 3
Mkikimbia tuna point 3

😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Nguvu moja
 
Una timu ya kuifunga Yanga?
Lete timu June 15

Mbona unakimbia Utopolo bheye.

Mkicheza tuna point 3
Mkik8mbia tuna point 3
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Alooo.
 
Lete timu June 15

Mbona unakimbia Utopolo bheye.

Mkicheza tuna point 3
Mkik8mbia tuna point 3
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Tarehe 8 tulimaliza hua hatuna muda wa kubembelezana
 
#Mtacheza tu

Na hatuwambembelezi kama mademu mideko.

Mkicheza tuna point 3
Mkikimbia tuna point 3

😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
Nguvu moja
Mademu ndio hua wanaogopa mabaunsa
 
Hawa kenge watacheza tuu, eti dr, dr wa kupewa, hivi vyuo vyetu navyo ovyo tuu
 
No reform no election hiyo chungu lakini no reform no Darby hiyo sawa
 
Endapo kuna watu watajiuzuru kwa maneno ya hawa wahuni Nitauandikia barua uongozi wa Simba mwakani wasicheze ligi mpaka viongozi watakaojiuzuru warudi madarakani yaani kama mna leta uhuni ni uhuni mpaka mwisho.

Yanga mmezoea kubebwa na Serikali kama maiti hapa ni Ubaya Ubwela.
 
Shikilia hapo hapo Mwana Uto.
Bodi ya Ligi leteni marefa sisi tutakuwepo
Makalio Yao hao wanazuga Tu! Kwisajua janja Yao! Janja ya nyani Kula indi bichi! Kama kweli wanadi***sha wasitokee tuone! Janja ya mwaka 47 sabaaaaaa.......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…