Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri wetu wa Fedha, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Mchumi Daraja la Kwanza nikiwa na maana kuwa alipata First Class katika shahada yake ya kwanza kutoka UDSM .Ufaulu ambao ni wa juu sana na ambao siyo lelemama kuupata hasa kutoka viunga vya UDSM.Na ndio maana alipata nafasi ya kufanya kazi BOT na ambaye wengi hupenda kumwita Mr Clean, kutokana na uadilifu wake pamoja na uzalendo wake kwa Taifa letu.
Ameonyesha kusikitika na kusikitishwa sana na malalamiko ya watanzania mitandaoni yasiyo na msingi wala ukweli. Ametolea mfano kuwa anasikitika sana pale anapoona hata anapoposti picha ya mwanae na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa, wanatokea watu wanasema "Ameshiba" Dola Zao.
,
Akasema kuwa, sijui wapi ambako mwanae anakutana na hizo Dola. Amewataka watanzania kuwa wazalendo kwa Taifa letu nakupenda vitu vinavyozalishwa na viwanda vyetu vya ndani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pia, Soma: Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara