Dkt. Mwigulu Nchemba: Nikimposti mwanangu mnasema "kameshiba dola zetu hako"; kanakutana nazo wapi?

Ndugu zangu Watanzania,

Waziri wetu wa Fedha, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Mchumi Daraja la Kwanza nikiwa na maana kuwa alipata First Class katika shahada yake ya kwanza kutoka UDSM .Ufaulu ambao ni wa juu sana na ambao siyo lelemama kuupata hasa kutoka viunga vya UDSM.Na ndio maana alipata nafasi ya kufanya kazi BOT na ambaye wengi hupenda kumwita Mr Clean, kutokana na uadilifu wake pamoja na uzalendo wake kwa Taifa letu.

Ameonyesha kusikitika na kusikitishwa sana na malalamiko ya watanzania mitandaoni yasiyo na msingi wala ukweli. Ametolea mfano kuwa anasikitika sana pale anapoona hata anapoposti picha ya mwanae na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa, wanatokea watu wanasema "Ameshiba" Dola Zao.

Akasema kuwa, sijui wapi ambako mwanae anakutana na hizo Dola. Amewataka watanzania kuwa wazalendo kwa Taifa letu nakupenda vitu vinavyozalishwa na viwanda vyetu vya ndani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Pia, Soma: Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara
Eti mtoto anabubujika kwa dola.
 
Anakuringishia mashavu dodo ya chalii.Halafu ni kama hajajua hasara za mitandao ya kijamii kuweka picha za watoto.Ameanza kulia kwa kwikwi.
Kwani hao Waja wanampa kichambo kidogo, kwa kuogopa kutupwa huko Katavii.
Vinginevyo angekua anafurahishwa zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tujifunze.Kuweka picha za watoto mitandaoni ni upotofu mkubwa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Waziri wetu wa Fedha, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Mchumi Daraja la Kwanza nikiwa na maana kuwa alipata First Class katika shahada yake ya kwanza kutoka UDSM .Ufaulu ambao ni wa juu sana na ambao siyo lelemama kuupata hasa kutoka viunga vya UDSM.Na ndio maana alipata nafasi ya kufanya kazi BOT na ambaye wengi hupenda kumwita Mr Clean, kutokana na uadilifu wake pamoja na uzalendo wake kwa Taifa letu.

Ameonyesha kusikitika na kusikitishwa sana na malalamiko ya watanzania mitandaoni yasiyo na msingi wala ukweli. Ametolea mfano kuwa anasikitika sana pale anapoona hata anapoposti picha ya mwanae na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa, wanatokea watu wanasema "Ameshiba" Dola Zao.

Akasema kuwa, sijui wapi ambako mwanae anakutana na hizo Dola. Amewataka watanzania kuwa wazalendo kwa Taifa letu nakupenda vitu vinavyozalishwa na viwanda vyetu vya ndani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Pia, Soma: Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
lest we forget
IMG_0721.jpeg

IMG_0722.jpeg
 
Ameonyesha kusikitika na kusikitishwa sana na malalamiko ya watanzania mitandaoni yasiyo na msingi wala ukweli. Ametolea mfano kuwa anasikitika sana pale anapoona hata anapoposti picha ya mwanae na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa, wanatokea watu wanasema "Ameshiba" Dola Zao.
Ati ni Dr na waziri! Anapata wapi muda wa kufikiri na kupost mambo ya kitotokitoto mtandaoni, watu wanategemea kwa ngazi yake aelekeze nguvu kuboost uchumi wa nchi badala ya statement za kijingakijinga
 
🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂😂Mwigulu,mbona ameuliza swali jepesi sana?Aliwahi kuona wapi chakula kinaitwa dola?Anaelewa ku-personoficate,ku-animate nk?Ukinunua Yutong kwa dola laki mbili na nusu hapa Tanzania utasema umenunua Yutong Tsh.550 mln.Na baadaye unaendelea kubadilisha hivyohivyo hadi unapata sahani ya wali nyama wa Tsh.4000.Lakini,yote yametoka/yameanzia kwenye dola.
Ana kawaida ya kujiona yuko bora sana, na huwachukulia watanzania wote ni wajinga, anajisahau kuwa ni mlugaluga wa kuja tu mjini
 
Ati ni Dr na waziri! Anapata wapi muda wa kufikiri na kupost mambo ya kitotokitoto mtandaoni, watu wanategemea kwa ngazi yake aelekeze nguvu kuboost uchumi wa nchi badala ya statement za kijingakijinga
Acha wivu wako wewe. Kwani huoni namna uchumi wetu ulivyo imara na wenye nguvu na wenye kugusa Maisha ya watanzania?
 
Back
Top Bottom