Dkt. Mwigulu Nchemba: Nikimposti mwanangu mnasema "kameshiba dola zetu hako"; kanakutana nazo wapi?

Eti ukipata first class kwa kukariri madesa unakuwa una akili sana
Tanzania bhana kazi ipo
 
Kwa wanaotafuta maisha waache kutumia juhudi wamtafute mganga wa mwigulu watatoboa
 
Kama ni rahisi kupata First Class basi na wewe nenda ukakariri ili upate.
We kilaza unajua academic credentials zangu...au umekariri kuwa wanasiasa wenye phd za mchongo na degree za economics ma political science plus uchawi ndo vichwa..
 
We kilaza unajua academic credentials zangu...au umekariri kuwa wanasiasa wenye phd za mchongo na degree za economics ma political science plus uchawi ndo vichwa..
Sizani kama umefika hata secondary.maana naona itakuwa umeishia huko vidudu na kubakia na umbumbumbu wako kichwani
 
Vi
Sizani kama umefika hata secondary.maana naona itakuwa umeishia huko vidudu na kubakia na umbumbumbu wako kichwani
hhah haha
Sasa unataka nishuke katika level zako za upumbavu ili unishinde kwa uzoefu
ENDELEA NA KAZI YAKO YA UCHAWA KAKA
HUENDA UKAKUMBUKWA
 
Huyu akipata urais atakuja na zile hulka za kibabe za kunyanyasa raia. Mungu anapomnyima mtu nafasi anayoota kuipata anakuwa akiliepusha taifa zima na matatizo ambayo yangeweza kutokea katika uongozi wake.

Mungu huwa hakosei hata kidogo.
 
Mr clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ni mtu Mwenye huruma , upendo,utu na ukarimu wa hali ya juu sana.hivi unafahamu ya kuwa Mr Clean anasomesha na kuwalipia ada na mahitaji mengine wanafunzi wengi sana wasio na uwezo? Naposema ada unaweza ukauliza analipaje ada wakati Elimu ni bure?

Jibu ni kuwa anaweza Mwambia Mwanafunzi achague shule yoyote ile anayoitaka na yeye analipia ada yote . Huyo ndio Mr Clean na moyo wake wa upendo na huruma kwa watu.
 
Lucas analifahamu hiliii?
 
Kwa hiyo ndo leo anashtuka kuwa makampuni ya nje ndo yanapewa mradi kww hongo kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…