Langu ni 890000 sijajua hiyo 2.8 anaipatajeWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mwaka 2022 Pato Ghafi la Taifa lilikuwa TZS trilioni 170.3 ikilinganishwa na TZS trilioni 156.4 mwaka 2021.
Hivyo, kutokana na idadi ya watu Tanzania Bara, Pato la Taifa kwa Mtu kwa mwaka 2022 ni TZS milioni 2.844 ikilinganishwa na TZS milioni 2.708 mwaka 2021.
Kiasi hicho ni sawa na dola za Marekani 1,229.1 mwaka 2022 kwa mtu kwa mwaka ikilinganishwa na dola za Marekani 1,173.3 mwaka 2021.
Hali hii inaendelea kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ngazi ya chini.
Ni Pato la mwakaLangu ni 890000 sijajua hiyo 2.8 anaipataje
Hiyo ime take into account inflation effectsMilioni 2 ya 2021 ni sawa na Milioni 2 ya 2023..unazilinganishaje.. hakuna variable hapo aliyoisahau?
Kausha tu ukiuliza atakupa mambo ya trab na tratLangu ni 890000 sijajua hiyo 2.8 anaipataje
We are all not dumb you knowHiyo ime take into account inflation effects
Kama nchi asilimia 23 ni wanafunziBado Nchi Ina maskini wa kutosha na mnavyokataa kusaidiwa na Waarabu wa DP ndio mtazidi kuwa mafukara [emoji38][emoji38]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Langu ni 890000 sijajua hiyo 2.8 anaipataje
Ila kupiga Domo,kulalamika,kulaumu na umbea 😁😁Kama nchi asilimia 23 ni wanafunzi
Asilimia 25 ni watoto
Asilimia 5 ni wazee
Walipa kodi ni chini ya milioni 5 hapo wategemea nini?
Watanzania hawapendi kusoma, kufanya kazi
Huo ni ukuaji ila uchangiaji kwenye pato la taifa Sanaa haifiki hata Asilimia 0.5Ila kupiga Domo,kulalamika,kulaumu na umbea [emoji16][emoji16]
Ona hizi takwimu za ujuaji wa kisekta yaani biashara na Kilimo zimedumaa View attachment 2658572
Na maskini wengi wako Vijijini ambako Serikali haiwasaidii Kwa lolote licha ya kuwa kwenye shughuli ya Kilimo ila imepuuzwa..Ukichanganya na gap ya walionacho na wasionacho kuwa kubwa na middle income ku-shrink..., Kwa hii path tunayokwenda kila pato linavyopanda na maisha ndio yataendelea kuwa magumu kwa wengi...
99% ya wealthy inashikiliwa na chini ya 1%