Dkt. Mwigulu: Pato la kila mtu nchini lafikia milioni 2.8

Sasa sie huku tunamuuliza Dkt. Mwigulu kwamba tunaipataje namba yake ya simu ili tumtumie akaunti zetu atudumbukizie hicho kiasi chetu cha 2 pointi AT million?

NB: Dkt., kumbuka kutuma na ya kutolea.
 
Nchii hii hii au Burundi ?
 
Aisee ni hatari nimecheka sana.
Hebu chukua calculator kisha uigawanye hiyo 2.8M kwa siku 365 utapata Tshs. 7,671.23.
Hivyo basi hawa wapuuzi wanaona ile buku sabasaba wanayowapaga Lumumba kuja kubwekabweka humu JF ndio average income ya kila mtanzania😂🤣.

Kama uchumi wa kwenye makaratasi ndiyo uhalisia wa maisha yetu basi tumeendelea sana.
 
Yule hana Akili lazima adhihirishe hilo kwa anacho ongera.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…