Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

Acha uongo wewe, nssf wanunue chai kwako, nimefanya field nssf mwanza chai wanajinunulia
Pole yako mimi chakula na kodi nililipiwa aisee usisahau pia chai zipo za aina nyingi huko serikalini
 
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.

Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.

Source: TBC
CCM bwana,sikia la kufa halisikii dawa.
 
Enzi za chama kimoja swali langu lisingekuwa na maana sana ila tuko mfumo wa vyama vingi.

Sijaelewa baada ya Waziri Dr Mwigullu kutoa tamko la marekebisho ya Tozo ndio imeisha au Bunge litajadili na kuazimia?!

God bless us!
Mfumo wa vyama vingi feki mfumo unaotegemea kampeni na uchaguzi ni mfumo feki.
 
Lini chai na vitafunwa vilikuwepo kwa watumishi, labda nyie mnaotumia viieite. Jibaneni wenyewe huko, wengine hiyo chai na vitafunwa hatujawahi kuviona na hizo safari za ndani na nje mnazo nyie wapanda viieite.

..Mh.Mwigulu alipaswa kueleza bajeti ya chai na vitafunwa ni kiasi gani.

..halafu aeleze wamepanga kuipunguza kwa namna na kiwango gani.

..maelekezo yake yamekuwa ya jumla-jumla sana ni vigumu kupima utekelezaji, changamoto, na mafanikio yake.
 
Na humo ndo anamojifichia, kwenye hoja za jumla jumla.......akifikiri watanzania hawawezi kufuatilia kujua details.
 
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.

Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.

Source: TBC
Huo usafiri uanze na yeye maana huwa anatumia kodi zetu kutengeneza msafara mkubwa wa magari kama vile ni Rais wa Nchi, aone jana kule Westminster Marais wetu walivyorundikwa kwenye LUPELO BUS SERVICE.
 
Aonyeshe mfano yeye aanze kutumia RAV 4
 
Huo usafiri uanze na yeye maana huwa anatumia kodi zetu kutengeneza msafara mkubwa wa magari kama vile ni Rais wa Nchi, aone jana kule Westminster Marais wetu walivyorundikwa kwenye LUPELO BUS SERVICE.
Hahaha.......Lupelo moja Dar - Njombe enzi zile
 
Tanesco Dodoma na NSSF dom hapo kwa siku wanatumia chai ya laki 4 kwa asubuhi moja kila mmoja wao. Jamani nyie nyie nilikuwa napeleka hiyo chai na vitafunwa nabaki kinywa wazi. Huku nilipo shule ya sekondari chai ya elfu 10 waalimu wanaipigania ngumi.
Jamaa ni walafi haswa
 
To cut down costs on bites,tea does not help. Kuna magari mangapi (V8) husafiri kati ya Dar to Dodoma and vice versa kila siku. Kwanza wHY ? Cost ya fuel, wear and tear, per diem ni kiasi gani? I believe it would be cheaper to charter ndege kila siku au every alternate day. Get rid of all V8 and replace them with cars having maximum of 3000cc.
 
Lini chai na vitafunwa vilikuwepo kwa watumishi, labda nyie mnaotumia viieite. Jibaneni wenyewe huko, wengine hiyo chai na vitafunwa hatujawahi kuviona na hizo safari za ndani na nje mnazo nyie wapanda viieite.
Wa kujipa Safari za Nje na ndani Kila Mwezi Ili Wapate perdiem ya 250000/=. Maboss hawakai Ofisini Kila Siku Safari na kupe wao. Kazi wanazofanya huko wangeweza Fanya Ofisini au Mtandaoni. Serikali irudi Tena kuratibu Safari za Watumishi wa Umma.
 
Hivi kuna viongozi huko serikalini .....!! Hao viongozi ni kuanzia ngazi gani ...!!?

Halafu hili la chai ..... duh. Yaani serikali inalipa watu mishahara halafu bado inawanunulia chai na vitumbua .... Hii Tanzania kweli bado ipo zile enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
Nini Chai siikia Sasa:- Kodi ya Nyumba, Mawasiliano, Umeme, Maji, Usafiri allowances, Furniture allowances Nje ya Mshahara. Bado Veeiyt na Safari ya wiki mbili Kila Mwezi . Perdiem 250000/=. Upooo.??
 
Hivi kuna viongozi huko serikalini .....!! Hao viongozi ni kuanzia ngazi gani ...!!?

Halafu hili la chai ..... duh. Yaani serikali inalipa watu mishahara halafu bado inawanunulia chai na vitumbua .... Hii Tanzania kweli bado ipo zile enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
Unajua lakin mazingir ya kaz.chai chai unaiona kubwaa.mkate tu na majan nayo manenooo kibao...
 
Hivi kuna viongozi huko serikalini .....!! Hao viongozi ni kuanzia ngazi gani ...!!?

Halafu hili la chai ..... duh. Yaani serikali inalipa watu mishahara halafu bado inawanunulia chai na vitumbua .... Hii Tanzania kweli bado ipo zile enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
Mkuu hata mimi nashanga sana, kweli Waziri wa Fedha anatafuta vyanzo vya mapato ya Serikali Kuu kupitia gharama za chai na vitafinwa kutoka ofisi za Umaa? Sasa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa zatapataTUJITAFAKARI
 
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.

Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.

Source: TBC
Nampongeza kwenye point ya warsha,safari.tena namkumbusha amesahau nao wabunge wapunguziwe mishahara na wakatwe kodi.
 
..serikali pia ni kubwa mno.

..hakuna ulazima wa kuwa na wakuu wa wilaya.

..wakurugenzi wa wilaya wapo, wanaweza kutekeleza majukumu ya wakuu wa wilaya.
 
Back
Top Bottom