Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,804
Pole yako mimi chakula na kodi nililipiwa aisee usisahau pia chai zipo za aina nyingi huko serikaliniAcha uongo wewe, nssf wanunue chai kwako, nimefanya field nssf mwanza chai wanajinunulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole yako mimi chakula na kodi nililipiwa aisee usisahau pia chai zipo za aina nyingi huko serikaliniAcha uongo wewe, nssf wanunue chai kwako, nimefanya field nssf mwanza chai wanajinunulia
CCM bwana,sikia la kufa halisikii dawa.Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.
Source: TBC
Mfumo wa vyama vingi feki mfumo unaotegemea kampeni na uchaguzi ni mfumo feki.Enzi za chama kimoja swali langu lisingekuwa na maana sana ila tuko mfumo wa vyama vingi.
Sijaelewa baada ya Waziri Dr Mwigullu kutoa tamko la marekebisho ya Tozo ndio imeisha au Bunge litajadili na kuazimia?!
God bless us!
Hili walishaambiwa mbonaSiku viongozi wakiamua kubana na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kwa vitendo, basi hata raia wa kawaida watapata moyo wa kulipa kodi kwa hiyari.
Lini chai na vitafunwa vilikuwepo kwa watumishi, labda nyie mnaotumia viieite. Jibaneni wenyewe huko, wengine hiyo chai na vitafunwa hatujawahi kuviona na hizo safari za ndani na nje mnazo nyie wapanda viieite.
Na humo ndo anamojifichia, kwenye hoja za jumla jumla.......akifikiri watanzania hawawezi kufuatilia kujua details...Mh.Mwigulu alipaswa kueleza bajeti ya chai na vitafunwa ni kiasi gani.
..halafu aeleze wamepanga kuipunguza kwa namna na kiwango gani.
..maelekezo yake yamekuwa ya jumla-jumla sana ni vigumu kupima utekelezaji, changamoto, na mafanikio yake.
Huo usafiri uanze na yeye maana huwa anatumia kodi zetu kutengeneza msafara mkubwa wa magari kama vile ni Rais wa Nchi, aone jana kule Westminster Marais wetu walivyorundikwa kwenye LUPELO BUS SERVICE.Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.
Source: TBC
Aonyeshe mfano yeye aanze kutumia RAV 4Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.
Source: TBC
Hahaha.......Lupelo moja Dar - Njombe enzi zileHuo usafiri uanze na yeye maana huwa anatumia kodi zetu kutengeneza msafara mkubwa wa magari kama vile ni Rais wa Nchi, aone jana kule Westminster Marais wetu walivyorundikwa kwenye LUPELO BUS SERVICE.
Jamaa ni walafi haswaTanesco Dodoma na NSSF dom hapo kwa siku wanatumia chai ya laki 4 kwa asubuhi moja kila mmoja wao. Jamani nyie nyie nilikuwa napeleka hiyo chai na vitafunwa nabaki kinywa wazi. Huku nilipo shule ya sekondari chai ya elfu 10 waalimu wanaipigania ngumi.
wao wanaishi kwenye sayari yaoHuo usafiri uanze na yeye maana huwa anatumia kodi zetu kutengeneza msafara mkubwa wa magari kama vile ni Rais wa Nchi, aone jana kule Westminster Marais wetu walivyorundikwa kwenye LUPELO BUS SERVICE.
Mkuu hao akili zaoni za kuhamishwa na upepoHaya mataga mliokuwa mnatetea Tozo inabidi tena mbadili gia angani muanze kupongeza kwa haya mabadiliko madogo sana ya tozo.
Wa kujipa Safari za Nje na ndani Kila Mwezi Ili Wapate perdiem ya 250000/=. Maboss hawakai Ofisini Kila Siku Safari na kupe wao. Kazi wanazofanya huko wangeweza Fanya Ofisini au Mtandaoni. Serikali irudi Tena kuratibu Safari za Watumishi wa Umma.Lini chai na vitafunwa vilikuwepo kwa watumishi, labda nyie mnaotumia viieite. Jibaneni wenyewe huko, wengine hiyo chai na vitafunwa hatujawahi kuviona na hizo safari za ndani na nje mnazo nyie wapanda viieite.
Nini Chai siikia Sasa:- Kodi ya Nyumba, Mawasiliano, Umeme, Maji, Usafiri allowances, Furniture allowances Nje ya Mshahara. Bado Veeiyt na Safari ya wiki mbili Kila Mwezi . Perdiem 250000/=. Upooo.??Hivi kuna viongozi huko serikalini .....!! Hao viongozi ni kuanzia ngazi gani ...!!?
Halafu hili la chai ..... duh. Yaani serikali inalipa watu mishahara halafu bado inawanunulia chai na vitumbua .... Hii Tanzania kweli bado ipo zile enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
Unajua lakin mazingir ya kaz.chai chai unaiona kubwaa.mkate tu na majan nayo manenooo kibao...Hivi kuna viongozi huko serikalini .....!! Hao viongozi ni kuanzia ngazi gani ...!!?
Halafu hili la chai ..... duh. Yaani serikali inalipa watu mishahara halafu bado inawanunulia chai na vitumbua .... Hii Tanzania kweli bado ipo zile enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
Mkuu hata mimi nashanga sana, kweli Waziri wa Fedha anatafuta vyanzo vya mapato ya Serikali Kuu kupitia gharama za chai na vitafinwa kutoka ofisi za Umaa? Sasa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa zatapataTUJITAFAKARIHivi kuna viongozi huko serikalini .....!! Hao viongozi ni kuanzia ngazi gani ...!!?
Halafu hili la chai ..... duh. Yaani serikali inalipa watu mishahara halafu bado inawanunulia chai na vitumbua .... Hii Tanzania kweli bado ipo zile enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
Nampongeza kwenye point ya warsha,safari.tena namkumbusha amesahau nao wabunge wapunguziwe mishahara na wakatwe kodi.Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.
Source: TBC
Nampongeza kwenye point ya warsha,safari.tena namkumbusha amesahau nao wabunge wapunguziwe mishahara na wakatwe kodi.