The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hivyo vitu alivyotaja Wala havifabyiki Sana na vingine hata havipo kama chai sijui vitafinwa vilishaondolewa kitambo na Mwendazake..Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.
Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.
Source: TBC
Ukweli ni kwamba pesa za kupeleka kwenye miradi waliyokuwa wameitaja hazitakuwepo so shida Kwa wananchi zitaendelea kuwepo tena zaidi na malengo ya bajeti hayatafikiwa ndio maana ameahindwa kutaja watakusanya kiasi gani na hatua hii itaathiri bajeti Kwa kiasi gani..
Ni ajabu Sana Serikali inaitikia na kuendeshwa kizushi zushi na habari mitandaoni,matokeo yake watakaoumia zaidi ni watu wa Vijijini as usual..
Kwa hili naona mara 100 angekuwepo Mwendazake angelisimamia maana haiwezekani serikali inajenga hoja clear kabisa afu tena inasanda kisa ulalamishi wa watu mitandaoni tena watu wa Mjini ambao wana unafuu wa maisha kuliko Mijini..