Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.

Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.

Source: TBC
Hivyo vitu alivyotaja Wala havifabyiki Sana na vingine hata havipo kama chai sijui vitafinwa vilishaondolewa kitambo na Mwendazake..

Ukweli ni kwamba pesa za kupeleka kwenye miradi waliyokuwa wameitaja hazitakuwepo so shida Kwa wananchi zitaendelea kuwepo tena zaidi na malengo ya bajeti hayatafikiwa ndio maana ameahindwa kutaja watakusanya kiasi gani na hatua hii itaathiri bajeti Kwa kiasi gani..

Ni ajabu Sana Serikali inaitikia na kuendeshwa kizushi zushi na habari mitandaoni,matokeo yake watakaoumia zaidi ni watu wa Vijijini as usual..

Kwa hili naona mara 100 angekuwepo Mwendazake angelisimamia maana haiwezekani serikali inajenga hoja clear kabisa afu tena inasanda kisa ulalamishi wa watu mitandaoni tena watu wa Mjini ambao wana unafuu wa maisha kuliko Mijini..
 
Acha uongo wewe, nssf wanunue chai kwako, nimefanya field nssf mwanza chai wanajinunulia
Nilikuwa nafanya kazi kwenye moja ya hotel kubwa hapo dodoma huniambii kitu wanafunzi mnaokuja field pale NSSF dodoma mchana analipiwa sahani ya buffet ya elfu 16 miaka hiyo staff nzima nayo ni hivo hivo. Hilo ni shirika moja tuu tulikuwa tunahudumia karibia mashirika ya umma yaliopo dodoma na semina na warsha za wizara zikija dodoma. Niishie tuu hapo watu wanakula hii inji.
 
Je magari yao yanauzwa? Madereva wanasimamishwa mpaka ipatikane safari ya bosi peke yake?
 
Ktk nchi hii kila kitu kinawezekana bwashee
Enzi za chama kimoja swali langu lisingekuwa na maana sana ila tuko mfumo wa vyama vingi.

Sijaelewa baada ya Waziri Dr Mwigullu kutoa tamko la marekebisho ya Tozo ndio imeisha au Bunge litajadili na kuazimia?!

God bless us!
 
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina.

Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake.

Source: TBC
hapo nampongeza Mh.Mwigulu, swala la kupunguza matumizi ya umma hasa warsha,semina,safari za nje na "vieite" twaweza okoa fedha nyingi sana. Hili liliwekewa msingi na "Mwendazake" muda mrefu,polepole tutaelewa falsafa za Mwendazake. Kazi iendelee.hata sasa mh. Rais anakwenda na delegation ndogo nje ya nchi so anaonyesha mfano.
 
Safi sana ila kutumia usafiri wa pamoja hapo ikiwa ni ajali tutapoteza viongozi kwa pamoja.
Si watachaguliwa wengine mkuu. Kwanza hata umakini utakuwepo zile spidi zao zitapungua.
Walifanyie kazi kama ni kweli wanahitaji kupunguza gharama.
 
We ni mwalimu labda,ofisi zote za umma chaii ipo
Acha uongo hivi unajua watumishi tumo humu na wengine tupo makao makuu kabisa na huu ni mwaka wa 10 sijawahi shuhudia hata chupa mbovu ya chai?
 
Huyu jamaa wanasema ana Phd ila nikimuangalia anachoongea naona mimi wa kiteto nimemzidi Elimu sijawahi kumsikia akiongea kitu cha maana...
 
Acha uongo hivi unajua watumishi tumo humu na wengine tupo makao makuu kabisa na huu ni mwaka wa 10 sijawahi shuhudia hata chupa mbovu ya chai?
Makao makuu ya nini,?hampewi kopo la nido,sukari na majani for free?
 
Safi sana ila kutumia usafiri wa pamoja hapo ikiwa ni ajali tutapoteza viongozi kwa pamoja.
Unataka kusemaje kwani? kule kwenye pound watu wamepanda champion bila kelele,kuelekea kwenye msiba
 
Mmmh we ndio nina walakini na ww, mm nilifanya field nssf shinyanga, chai ilikuwa ni juu ya ofisi. Hakuna aliekuwa ananunua kwa pesa yake
Ngoja na mimi nichangie. Labda hizo chai huwa zinapatikana wizarani jamani!
 
Mkuu , kama viongozI wanalipwa package nzuri za mishahara na marupurupu , hakuna sababu ya kuwapa magari , wajinunulie wenyewe maana wanaweza .
Nchi kama Botswana, ndo wanafanya hivyo......... wame jaribu sana kuwa na ' very strict financial displine' ktk matumizi yao mengi na hususan ya magari ya serikali yasiyo na tija!!
 
Nchi kama Botswana, ndo wanafanya hivyo......... wame jaribu sana kuwa na ' very strict financial displine' ktk matumizi yao mengi na hususan ya magari ya serikali yasiyo na tija!!
Nimekaa botswana , gari za serikali mitaani ni za kuzitafuta sana ,
Hapa kwetu Vxr R , 400plus millions umalikuta linazagaa tu kizembe , halafu tunabanana kwenye tozo.
 
Back
Top Bottom