Uchaguzi 2020 Dkt. Mwinyi: Wajumbe wa Zanzibar waliotupigia kura ni 68 hata kama ni kweli wenzangu walipata 35 basi na mimi nilipata 33

Kama hii habari ni kweli, basi Mwinyi kaanza kuchemka. Hizi ngojera amuachie Polepole na mavuvuzera wengine.
 
Wewe ndo mjinga usielewa mambo. Chama ni kimoja, kinawezaje kuwa na vyombo viwili vya maamuzi. Anaechaguliwa kugombea ni mzanzibar. Vikao vya mwanzo vya mchujo vinafanyika Zanzibar. Sasa kuna tatizo gani chama chote kikashiriki kuchagua wagombea wao katika hatua ya mwisho ili kupata baraka za wanachama wake. Mnataka kuleta ubaguzi wa kipumbavu.

Ingekua Rais wa Zanzibar anapigiwa kura hadi Bara hapo mngeweza kuhoji. Lakini Rais wa Zanzibar anachaguliwa na wanzanzibar wenyewe. Chama kinachagua mgombea tu ambae anaenda kupigiwa kura na wazanzibar
 
Uchambuzi wa kipumbavu! Hivi hapo yangekuwa ndio matokeo rasmi ya uchaguzi Mwinyi ameshindwaje katika wagombea wote 3.?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Uchambuzi wa kipumbavu! Hivi hapo yangekuwa ndio matokeo rasmi ya uchaguzi Mwinyi ameshindwaje katika wagombea wote 3.?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app

Mkuu Crimea , funguka kwa hoja barza lipo wazi tuelimishane hizi takwimu Mpya alizotoa Dr. Hussein Mwinyi na maana yake ndani ya CCM Zanzibar na kwa waZanzibari kwa ujumla. Karibu Tafaadhali ktk jamvi !
 
Mkuu mbona kwa idadi ya kura za zanzibar ameta 33 karibu sawa na nusu ya kura zote za Zanzibar hivyo wangepiga wanzibar tupu bado angeshinda maana wenzie wamegawana kura zilizo baki.

Kwahivyo wanzanzibar wameonesha wanamkubali.

Si vibaya majina ya wajumbe wa Zanzibar yakiwekwa hapa ili tujirodhishe na huo utetezi. Vinginevyo wanaosema ni wajumbe 35, au yeye anayesema 68, wote ni waongo.
 
Ukiifunua Tanzania, Unapata Tanganyika na Zanzibar. Uzuri ni kuwa Tanganyika ipo ingawa haijionyeshi kama inavyofanya Zanzibar.
Tanganyika inaonekana tu pale unapokuja uchaguzi wa rais mpya wa Zanzibar. Hapo ndio utajua Zenji imemezwa na "Tanganyika" na si Tanzania Bara.
 
Hoja imejibiwa kwa tafiti. Safi sana Dr. Hussen Rais mtarajiwa wa SMZ
 
Mbona Bungeni wanachangia tu wazenji hata vyenye haviwahusu ila hamsemi.
 
Kwa hesabu hizi baba na mama ng'ambo ya maji walimtosa?
 
Ccm ya Sasa Hana wanasiasa wenye ushawishi hata uwezo wa kupangua mijadala migumu Kama hii, kumweka pembeni NAPE, MAKAMBA Jr kiukweli ccm haina ufanisi.
 
Tatizo lako ni ugonjwa wenu hapo lumumba wa ukosefu wa akili kama huyo mzee wenu
Atatoboa kwenda wapi?wembe ni uleule.Sio mzee wenu nyinyi Chadema ni mzee wa ACT.
Your browser is not able to display this video.
 
Jecha wamemzingua aliyepo keshajifunza kondom ikitumika hutupwa chooni
 
Kwamba mwanaccm kutoka Bukoba anachagua mtu anaeenda kuongoza nchi ya Zanzibar!! shida ni kua unatetea ujinga lakini kibaya zaidi Mh Rais/m.kiti akasema itenguliwe ili wananchi wa Z bar ndo wafanye uchaguzi pekeyao napo utatetea na kusema sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…