Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kama hii habari ni kweli, basi Mwinyi kaanza kuchemka. Hizi ngojera amuachie Polepole na mavuvuzera wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo mjinga usielewa mambo. Chama ni kimoja, kinawezaje kuwa na vyombo viwili vya maamuzi. Anaechaguliwa kugombea ni mzanzibar. Vikao vya mwanzo vya mchujo vinafanyika Zanzibar. Sasa kuna tatizo gani chama chote kikashiriki kuchagua wagombea wao katika hatua ya mwisho ili kupata baraka za wanachama wake. Mnataka kuleta ubaguzi wa kipumbavu.Kichwa maji wewe!! chama kama hakina upande inatakiwa uchaguzi ufanyike kwa kiongozi wa chama kwasababu uwiano wa wajumbe haupo sawa kwa pande zote. Inakua haramu kwa uchaguzi wa kiongozi wa nchi nyingine mpaka na wajumbe wasioongozwa na huyo kiongozi.
Huu ujinga mtaacha lini? jifunzeni ata kufanyia marekebisho hayo makosa yaliyofanyika mwanzo siyo kuyasifia tu.
Acha ujinga tena.
Uchambuzi wa kipumbavu! Hivi hapo yangekuwa ndio matokeo rasmi ya uchaguzi Mwinyi ameshindwaje katika wagombea wote 3.?Kikokotoo cha Hali ya Siasa CCM ZNZ kufuatana na taarifa Mpya aliyotoa Dr. Hussein Mwinyi mgombea wa CCM ZNZ :
Swahili Times
Kura za CCM Zanzibar 68 - 33 = 35
% ya waliomkataa Mwinyi : 35/68×100= 51.47%
CCM Zanzibar 51.47% wamemkataa mgombea rasmi wa CCM Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi kuwania kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ 2020.
Maalim Seif akichukua 51.47 % ya wana CCM Zanzibar akichanganya na za upinzani, mwaka huu upinzani unaingiza Rais Ikulu ya Zanzibar 2020 ambaye siyo mwanaCCM.
Twende Maalim Twende mpaka Ikulu !
Ulipo Tupo , 2020 ni wa Upinzani ZnZ!
Itasaidia Upinzani kuwa na Sauti ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar )
Maendeleo ya Watu Hayana Chama !
Uchambuzi wa kipumbavu! Hivi hapo yangekuwa ndio matokeo rasmi ya uchaguzi Mwinyi ameshindwaje katika wagombea wote 3.?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona kwa idadi ya kura za zanzibar ameta 33 karibu sawa na nusu ya kura zote za Zanzibar hivyo wangepiga wanzibar tupu bado angeshinda maana wenzie wamegawana kura zilizo baki.
Kwahivyo wanzanzibar wameonesha wanamkubali.
Tanganyika inaonekana tu pale unapokuja uchaguzi wa rais mpya wa Zanzibar. Hapo ndio utajua Zenji imemezwa na "Tanganyika" na si Tanzania Bara.Ukiifunua Tanzania, Unapata Tanganyika na Zanzibar. Uzuri ni kuwa Tanganyika ipo ingawa haijionyeshi kama inavyofanya Zanzibar.
Mbona Bungeni wanachangia tu wazenji hata vyenye haviwahusu ila hamsemi.Ameshafeli kama ameanza mapema kuingia kwenye huu mtego, CCM wanafanya makosa sana kuacha kura za visiwani zipigwe bara na wabara pia..
Kura za Urais Zenji zilipashwa zipigwe na wazenji tena wakiwa kisiwandui pale au bwawani hoteli, kura za wazenji kupigwa dom tena wapiga kura wengi wakiwa wabara ni dhahiri kunathibitisha wazenji hawawezi kujiamulia mambo yao wenyewe na kila kitu lazima kifanywe bara..
Wazanzibar simameni pamoja kuwaonyesha wabara nyie ni wazenji na Rais wenu lazima atoke zenji kwa kura za wazenji..
Rais wa Tanzania ni wa wote kwa maana ya Bara na Zenji hivyo kura lazima zipigwe na wote labda tulete serikali tatu, Zenji rais wao, bara rais wao na Tanganyika rais wake au zenji na bara ziwe na Mawaziri wakuu na Rais awe mmoja, au makamu wa Rais awe Rais wazenji na huku bara kuwe na waziri mkuu tu....
Sisi ndiyo wazanzibar ndiyo tunasema kuwa ni 35Wajumbe wa Zanzibar ni 68.....sisi ndio CCM tunaokwambia!
Atatoboa kwenda wapi?wembe ni uleule.Sio mzee wenu nyinyi Chadema ni mzee wa ACT.
Eti, mbona Mbowe kavumulia B8!
Eti, mbona Mbowe kavumulia B8!
Ccm ya Sasa Hana wanasiasa wenye ushawishi hata uwezo wa kupangua mijadala migumu Kama hii, kumweka pembeni NAPE, MAKAMBA Jr kiukweli ccm haina ufanisi.
Jumla ya wajumbe bara na visiwani ni wangapi?
Kwamba mwanaccm kutoka Bukoba anachagua mtu anaeenda kuongoza nchi ya Zanzibar!! shida ni kua unatetea ujinga lakini kibaya zaidi Mh Rais/m.kiti akasema itenguliwe ili wananchi wa Z bar ndo wafanye uchaguzi pekeyao napo utatetea na kusema sawa.Wewe ndo mjinga usielewa mambo. Chama ni kimoja, kinawezaje kuwa na vyombo viwili vya maamuzi. Anaechaguliwa kugombea ni mzanzibar. Vikao vya mwanzo vya mchujo vinafanyika Zanzibar. Sasa kuna tatizo gani chama chote kikashiriki kuchagua wagombea wao katika hatua ya mwisho ili kupata baraka za wanachama wake. Mnataka kuleta ubaguzi wa kipumbavu.
Ingekua Rais wa Zanzibar anapigiwa kura hadi Bara hapo mngeweza kuhoji. Lakini Rais wa Zanzibar anachaguliwa na wanzanzibar wenyewe. Chama kinachagua mgombea tu ambae anaenda kupigiwa kura na wazanzibar