Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
=============
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika nyumbani kwa marehemu, Mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, leo Ijumaa tarehe 8 Agosti 2025.

snapins-ai_3694852014873399489.jpg
snapins-ai_3694852014864894763.jpg
 
Mke alifeli kumshauri munewe asigombee tena ubunge
Huenda asingegombea angekuwa bado yuko hai
Woroho wote kifo ndio kiboko yenu
 
Back
Top Bottom