Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

Marehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .

Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.

Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .

Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
 
Mke wa pili anatambuliwa na serekali.
Mke wa kwanza anatambuliwa na Church.
Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali

Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void

Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
 
Anaewasilisha Serikalini taarifa kuhusu familia yake nani? Kama Job mwenyewe akiwa hai aliwasilisha huyo bi mdogo kama ndio mke wake we ngedere unayeoinga ni nani?
 
Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali

Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void

Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Kwa watumishi wa umma,next of kin inamaliza kioa kitu,yule mama wa kichaga atulie
 
Nani kakwambia? Dogo labda hujaoa au hujawahi shiriki hizo kesi. sheria zinamtanbua mke wa kwanza, haswa kama haikuvunjwa kisheria

Next of kin ni formalities ila haina power kama cheti.
Muwe mnajitahid kuresolve haya mambo msije sumbua watoto mbeleni
 
Yap Ndugai kama Ndugai lazima alimjaza mke mdogo kwenye documents za kiserikali kama mwenza wake.
Sasa kuna anayemzidi Ndugai mwenyewe kwenye ukweli au uongo juu ya familia yake? Iwapo Ndugai alimjaza huyo, Serikali itapata wapi ujasiri wa kumtambua mwingine zaidi ya aliyejazwa na mwenyewe? Yaani kuna wakati tunasoma hoja za watu halafu unajiuliza kama huyu mtu kichwa chake kiko sawa au l?
 
Marehemu Ndungai ndo kamtenga mke wake; Ukiamua kuishi kama Kangaroo ndo matokeo yake haya.

Actually serikali inamheshimisha kwa kufanya hivyo, na ni sahihi, hakuna Ukristo wa hivyo.
 
Back
Top Bottom