Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

Hiyo ni personal life yake , kaumbuka na nini.?

Tatizo la wabongo mnapenda kujua personal life za watu.
Hakuna alichoumbuka…… hayo ni maosha yake binafsi, ulitaka aishi kama ww kwani yeye ni wewe !
Kwanin watizedi nyie vijinga vijinga na hamna maturity ?
Ina maana hujui km yeye ni PUBLIC FIGURE unanifananisha kabisa mimi na ndugai jamaa yangu kwani mimi ni PF.
Ukitaka mambo yako yawe sirini yaache vizuri ok.
Mbona Mwinyi kimya, Mkapa kimya, Lowasa kimya. Walisolve wakiwa hai broo
 
Hahaha huna elimu na ndoa ya kanisani. Ndo ya kanisani inatambulika kiesheria pia, tena ina cheti cha serikali

Ila si ya kidini tu, ndio maana kuvunjikw kwake kuna taratibu za kisheria
Ndoa zote hutambulika serikalini na kuvunjika kwake kuna taratibu za kisheria
 
Mbali na matukio yake kisiasa ambayo yamemfanya achukiwe. Lakini mambo ya ndoa ni magumu maana hata nzehe mengi yalimtatiza.
Pia, mke wa kwwnza sio malaika wala sio kila anayemwacha mke wa kwanza ni mjinga.
Ndoa ni dubwaba kubwa sana.
 
Mke alifeli kumshauri munewe asigombee tena ubunge
Huenda asingegombea angekuwa bado yuko hai
Woroho wote kifo ndio kiboko yenu
Ukute hata yeye alikua kashamchoka kaona ya nini miee
 
Ni mke wake wa muda mrefu tu,sema ndugai baada ya kupata uspika alisepa akamuacha. Mwenyewe ila sidhani kama walitalikiana.
Mimi sio mwanasheria ila nnachojua, kama mtu alikua ameoa na hakuwahi kutalikiana na mkewe, kisheria huyo mke anahesabika ndio mke halali!

Hata kama mwanaume huyo ataondoka nyumbani, akaenda kuishi na mwanamke mwingine, na akamtambulisha huyo ofisini nk, lakini MKE WA NDOA anabaki kuwa ni yule aliefunga nae ndoa.

Na kwa sheria ya mirathi, yeye (mke wa ndoa) ndio anarithi mali za marehemu.
 
Mmmmhmn yule mama ni mpole sana. Halafu nahisi ndugai alimuona ni dhaifu ndio maana akamtenga na kukaa nae mbali ingawa huwa anakuja. Nakumbuka kipindi kile cha kumuaga mkuu wa majeshi kabla ya huyu wa sasa,ndugai alienda pale kwa mkewe. Yaani ni kama alimtelekeza fulani hivi na yule mama ni kama amezubaa hivi utasema sio mchaga hanaga time.
 
Hiyo ni personal life yake , kaumbuka na nini.?

Tatizo la wabongo mnapenda kujua personal life za watu.
Hakuna alichoumbuka…… hayo ni maosha yake binafsi, ulitaka aishi kama ww kwani yeye ni wewe !
Kwanin watizedi nyie vijinga vijinga na hamna maturity ?
Mbona unaumia sana wewe ni mchepuko wa Job...? Kelele nyingi kama umepoteza rinda
 
Mke alifeli kumshauri munewe asigombee tena ubunge
Huenda asingegombea angekuwa bado yuko hai
Woroho wote kifo ndio kiboko yenu
Anazikwa kwa heshima na familia yake itaishi vizur,,
Kesho yako unaijua? Usije kufia gesti na kuwaachia familia yako madeni ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom