Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali
Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void
Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Unaelewa maana ya Next of Kin?
Aliyejazwa kama next of kin ndie mwenye haki