Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali

Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void

Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Mtu ana wake wawili halafu mshauri wa askofu hii ni hatari sana waungwana!!.Ndio maana saa nyingine ukiangalia yanayofanywa na maaskof unaweza kushangaa,kumbe jamaa ndie alikuwa mshauri
 
Hapa sio taarifa tena bali itaangaliwa sheria
Nakubaliana na wewe, lakini Serikali itatumia apparatus gani katika kubaini uhalali wa itakayoshirikiana naye zaidi ya taarifa zilizo kwenye database yao? Kumbuka hatuongelei mambo ya mirathi au dini hapa.
 
Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali

Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void

Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Mnamwonea Marehemu alishaachana na mke mkubwa tangu 2005 kama sikosei wakati nilipokuwa karibu naye kabla hata hajawa Spika...Leo huyo adai ni mke hata akili zake ziko timamu kweli? Well mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe. Ila watu wa mlima kwenye Mali hawanaga aibu aise?
 
Sio kwa ubaya ila sijafurahishwa na ufinyu wako wa mawazo kushindwa kuelewa kuwa kati ya viongozi wakuu wa serikali na Marehemu nani kamtenga Mke wa kwanza Wa Job Ndugai , hii inaleta ukakasi mkubwa
 
Hapo mke wa pili haesabiki kisheria, ndoa ya kanisani inatambulika kanisani na serikalini, cheti ni cha serikali

Suala la kufunga ndoa ya kiserikal kabla huja desolve ya kwanza haiwezekani, mahakama itaikataa ya oili maana ni void

Ila labda watumie nguvu za kisiasa kupindisha kama wananvyofanya kwenye mambo yao
Sema kama wanavyopindisha kwenye kesi ya Tundu Lissu.
 
Marehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .

Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.

Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .

Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Serikali yenyewe wamejaa vilaza watupu kuamzia juu hadi chini unategemea nini
 
Mnamwonea Marehemu alishaachana na mke mkubwa tangu 2005 kama sikosei wakati nilipokuwa karibu naye kabla hata hajawa Spika...Leo huyo adai ni mke hata akili zake ziko timamu kweli? Well mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe. Ila watu wa mlima kwenye Mali hawanaga aibu aise?
Una uhakika aliachana nae kisheria? ndoa hupotei kwa maneno kuna taratibu
 
Mtu ana wake wawili halafu mshauri wa askofu hii ni hatari sana waungwana!!.Ndio maana saa nyingine ukiangalia yanayofanywa na maaskof unaweza kushangaa,kumbe jamaa ndie alikuwa mshauri
Unadhani ni rahis kushauri maaskofu? Tena inategemea wa kanisa gani, i doupt kama ni wa catholic, hawachukuagi ushauri kwa watu amabo wanajua hata kiakili ni dhaifu

+ ukristo hautambui ndoa mbili, ndoa wanayo itambua ni ya kanisani
 
Nani kakwambia? Dogo labda hujaoa au hujawahi shiriki hizo kesi. sheria zinamtanbua mke wa kwanza, haswa kama haikuvunjwa kisheria

Next of kin ni formalities ila haina power kama cheti.
Muwe mnajitahid kuresolve haya mambo msije sumbua watoto mbeleni
Sheria inamtambua Mke wa Kwanza
 
Marehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .

Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.

Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .

Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Kamtafute Joyce Kiria huko
Alikuwa wapi wakati wote?
Anajisogeza sababu anajua kuna suala la mali za marehemu?
Aende kwa aliyekuwa anamkuna huko muda wote
 
Marehemu Ndungai ndo kamtenga mke wake; Ukiamua kuishi kama Kangaroo ndo matokeo yake haya.

Actually serikali inamheshimisha kwa kufanya hivyo, na ni sahihi, hakuna Ukristo wa hivyo.
Madhara ya uzinifu katika Uislamu ni makubwa na yanaathiri mtu binafsi, familia, na jamii kwa ujumla. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo muhimu:

1. Kukosa Baraka za Mwenyezi Mungu
Uzinifu ni dhambi kubwa katika Uislamu, na Mwenyezi Mungu anakataza kabisa tendo hilo. Kutenda uzinifu kunazuia mtu kupata baraka za Mwenyezi Mungu katika maisha yake na akhera.

2. Kupoteza Heshima na Haki za Mtu
Uzinifu huwa ni udhalilishaji kwa heshima ya mtu na haki zake, hasa kwa mume, mke, na familia. Hii husababisha uvunjifu wa imani na maadili mema ya ndoa.

3. Kuvunja Familia na Jamii
Uzinifu huleta ugomvi, majibizano, na kuvunjika kwa ndoa, jambo ambalo linaathiri watoto na jamii kwa ujumla kwa kusababisha matatizo ya kiakili, kihemko, na hata kiuchumi.

4. Kuleta Magonjwa ya Zinaa
Kutokuwepo kwa usafi wa mahusiano na kufanya uzinifu kunaongeza hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile UKIMWI, kashafa, na mengineyo.

5. Athari za Kisheria na Kimaadili
Katika nchi zinazotumia sheria za Kiislamu, uzinifu ni kosa kubwa linalopigwa marufuku na linaweza kusababisha adhabu kali ikiwa mtu atapatikana na hatia.

6. Kuathiri Maadili na Hali ya Kiroho
Uzinifu husababisha mtu kushuka morali, kupoteza hofu ya Mwenyezi Mungu, na kuathiri ibada na imani zake kwa ujumla.

7. Kusababisha Ukatili na Matatizo ya Kifamilia
Mara nyingi uzinifu husababisha vita vya nyumbani, ubakaji, na hata mauaji, kutokana na hasira na uovu unaotokana na tendo hilo.
 
Unadhani ni rahis kushauri maaskofu? Tena inategemea wa kanisa gani, i doupt kama ni wa catholic, hawachukuagi ushauri kwa watu amabo wanajua hata kiakili ni dhaifu

+ ukristo hautambui ndoa mbili, ndoa wanayo itambua ni ya kanisani
RC ile yenyewe ni dini dola haiitaji ushauri wa walei,tena watautupilia mbali wale jamaa we acha tu!!.Ila kwa Anglican inawezekana kwa kiasi fulani
 
Marehemu Job Ndugai Mpaka sasa Ana wake wawili .

Ila sijafurahishwa na Mchakato unavyoendeshwa kiukweli.

Kwakuwa sijaona mantiki ya kumtenga mke mkubwa wa Job Ndugai .

Naomba Serikali ikalitazame hili Swala kama ni sahihi.
Wewe kweli poyoyo first class

Ndugai alishamtambullisha mara kadhaa mke mdogo/mpya mbele ya halaiki ikiwemo bungeni

Sasa ikiwa Marehemu enzi ya uhai wake alishaonesha mapenzi, mahaba na utambuzi kwa bi Fatma, wewe ni nani kuanza kuhukumu viongozi wa Serikali kutomtambua huyó mamá mwingne ambae hatumjui..!!??
 
Mchanga kaona ghorofa
 
Back
Top Bottom