Dkt. Nchimbi anazidi kukubalika na kuonekana ana busara kuliko wanachama wote wa CCM

Dkt. Nchimbi anazidi kukubalika na kuonekana ana busara kuliko wanachama wote wa CCM

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nipo kwenye basi natoka Chato na kuelekea huko ninakokwenda. Nimefika Bwanga nikaanza kujiuliza juu ya hili suala.

20260529_205321.jpg
 
Nchimbi ni kiongozi mzuri sana. Hatwezi utu wa mtu , anaongea kwa hekima , hana za kazba .anapendwa kuliko Sa 100
 
Sijui kwa upande wako lakini Mimi ninachokiona ni stress za nyumbu tu, a.k.a haters wa mama Samia, wakijaribu hili na lile katika kuhuisha marumaini yao ya kisheitwani ya kumuona mama Samia anatoka kitini siku Moja.
 
Siipendi CCM kwa sababu imegeuzwa kuwa chama cha kigaidi, lakini ndani yake kuna watu baadhi ni wazuri na wenye hekima, na katika mioyo yao hawakubaliani kabisa na kuigeuza CCM kuwa chama cha kigaidi. Na wao wanahuzunika sana kwenye mioyo yao. Watu hao wanaoumizwa na CCM kugeuzwa kuwa chama cha kigaidi ni pamoja na Mzee Warioba na Nchimbi, lakini Nchimbi hajafikia hata 50% ya ujasiri wa mzee Warioba.
 
Hakuna mwana mbogamboga mwenye busara hata mmoja.
Ili aonekane ana busara inabidi aachie hicho cheo alichokipata kwa damu za watanzania.
 
Back
Top Bottom