Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 May 29, 2026 #21 Amkemee na Chatanda sasa kama alivyowahi kufanya kwa yule UVCCM aliyetaka polisi wasiwatafute wakiwapoteza wakosoaji wa mwenyekiti wao.
Amkemee na Chatanda sasa kama alivyowahi kufanya kwa yule UVCCM aliyetaka polisi wasiwatafute wakiwapoteza wakosoaji wa mwenyekiti wao.
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 May 29, 2026 #22 Muuza Kangala said: Shida yako ndio hiyo. Nani amempamba au ndio uhalisia? Huoni watu wanapenda hotuba za Nchimbi kuliko hata mkuu wa nchi? Click to expand... Labda wanaccm wenzake, nje ya ccm ni WA kawaida sana.
Muuza Kangala said: Shida yako ndio hiyo. Nani amempamba au ndio uhalisia? Huoni watu wanapenda hotuba za Nchimbi kuliko hata mkuu wa nchi? Click to expand... Labda wanaccm wenzake, nje ya ccm ni WA kawaida sana.