antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Tatizo ni kuwa ccm wamezoea kufuga wahalifu. Yule mwenyekiti wa uvccm aliyetamka hadharani hiyo mipango ya mauaji a.k.a "kupoteza" watu ilifaa awe yupo jela by now.Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema jambo la kijinga na lazima tulipinge.”
PIA SOMA:
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathbitisha ni wauwaji
Kuna uwezekano huyo mtu alihusika kupoteza wale waliotoweka awamu ile