peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Maandamano kupinga kauli mwenyewekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchimbi yuko mahali ambako sio sahihi.anaonekana ni mtu anayetamani haki na usawa vitamalaki lakini hataweza kufanikiwa kwasababu ya uwepo wa wajinga wengi wanaofikiri siasa ni ugomvi na mabavu badala ya ushindani wa hoja na uwajibikaji.Nadhani Nchimbi amekomaa na kuiva kisiasa.
Nchimbi pamoja na madhaifu yake lakini ameona mbaliNdio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema jambo la kijinga na lazima tulipinge.”
---
View attachment 2966818
SIASA: Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekemea kauli za vitisho zinazotolewa na baadhi ya Vijana wa chama hicho dhidi ya Wapinzani wao akieleza Chama kinapinga utaratibu huo
Akizungumza kutoka Jijini Mbeya katika Mkutano wa Hadhara, Dkt. Nchimbi amesema "Akiinuka Kijana wa CCM akasema Wapinzani wetu wakifanya hivi na hivi lazima tuwapoteze, huyu ni kijana wetu lakini kasema jambo la kijinga tutalipinga kwasababu nchi hii ni yetu sote."
Kauli ya Balozi Nchimbi inakuja muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, kusema Wakiwapoteza wanaowatusi Viongozi Mitandaoni, Jeshi la Polisi lisiwatafute
PIA SOMA:
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathbitisha ni wauwaji
Alipaswa akamatwe na polisiMaandamano kupinga kauli mwenyewekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa dogo katoa siri ya mambo yao tu. Hivi waliowengi humo sio wale wasiojulikana kweli?!Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema jambo la kijinga na lazima tulipinge.”
---
View attachment 2966818
SIASA: Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekemea kauli za vitisho zinazotolewa na baadhi ya Vijana wa chama hicho dhidi ya Wapinzani wao akieleza Chama kinapinga utaratibu huo
Akizungumza kutoka Jijini Mbeya katika Mkutano wa Hadhara, Dkt. Nchimbi amesema "Akiinuka Kijana wa CCM akasema Wapinzani wetu wakifanya hivi na hivi lazima tuwapoteze, huyu ni kijana wetu lakini kasema jambo la kijinga tutalipinga kwasababu nchi hii ni yetu sote."
Kauli ya Balozi Nchimbi inakuja muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, kusema Wakiwapoteza wanaowatusi Viongozi Mitandaoni, Jeshi la Polisi lisiwatafute
PIA SOMA:
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathbitisha ni wauwaji
Au makonda aliyemtwanga konde mzee wetu wariobaEnzi zile huyo Kijana angepandishwa cheo na kuwa DC kama yule Mnyalu aliyemtishia Zitto 🐼
Kipara kipya amevua gambaNchimbi pamoja na kuwa yeye ni kijani lkn bado ana tumia akili.
Siyo kama mazombie ya uvccm kina Kipara kipya
Bila kufukuza huyo kijana itakuwa porojo tu
Zilezile tabia za ISISFaris Buruhan, kusema Wakiwapoteza wanaowatusi Viongozi Mitandaoni,
Ni wanafiki sana hawa watu.Ukute wahusika wapo jumbe jeupe wanapongezwa na juice.
Ni wanafiki sana hawa watu.
Komredi Makalla ameongea kama mkristoHalafu kwa unafiki mkubwa, Makala anajifanya eti kutuma pole kwa CHADEMA na familia!! Awe muwazi na ajiamini, atume pongezi kwa UVCCM kwa kufanya yale ambayo CCM inawaagiza.
Aliyesema amewajibishwa ??!Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema jambo la kijinga na lazima tulipinge.”
SIASA: Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekemea kauli za vitisho zinazotolewa na baadhi ya Vijana wa chama hicho dhidi ya Wapinzani wao akieleza Chama kinapinga utaratibu huo
Akizungumza kutoka Jijini Mbeya katika Mkutano wa Hadhara, Dkt. Nchimbi amesema "Akiinuka Kijana wa CCM akasema Wapinzani wetu wakifanya hivi na hivi lazima tuwapoteze, huyu ni kijana wetu lakini kasema jambo la kijinga tutalipinga kwasababu nchi hii ni yetu sote."
Kauli ya Balozi Nchimbi inakuja muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, kusema Wakiwapoteza wanaowatusi Viongozi Mitandaoni, Jeshi la Polisi lisiwatafute.
The Secretary-General of CCM, Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi, has condemned threatening statements made by some youth within the party against their opponents, emphasizing that the party opposes such behavior.
===================
Speaking from Mbeya City at a public meeting, Dr. Nchimbi stated, "If a CCM youth rises and says we must eliminate our opponents for doing this or that, while he is our youth, if he says something foolish, we will oppose it because this country belongs to us all."
Ambassador Nchimbi's remarks come shortly after the UVCCM Chairman for Kagera Region, Faris Buruhan, stated that if they lose those who insult leaders online, the police should not search for them.
PIA SOMA:
- Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
- CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathbitisha ni wauwaji
otherwise hiyo ni Abracadabra tu !Umepiga kwenye mshono. Huyo kijana wa UVCCM ni gaidi na kama kweli anataka kuonyesha kuwa anajali, amfukuze uanachama na achukuliwe hatua za kisheria.