Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CCM inataka kujitenga na utekaji. Mwisho wa siku watasema vyombo vya dola viachiwe vichunguze.hii kauli walioielewa ni wale wenye D mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM inataka kujitenga na utekaji. Mwisho wa siku watasema vyombo vya dola viachiwe vichunguze.hii kauli walioielewa ni wale wenye D mbili
Anawajua watekaji.Amejuaje? Watu watajiuliza...
Lakini kuna tangazo lilikuwa linaomba ushirikiano kwa yeyote anaewafahamu..Anawajua watekaji.
Kwanza wanaotishia CHADEMA wakiandamana watawashughulikia ndiyo washukiwa namba moja.Kauli hii imekaa kijasusi kupooza hasira zawatu kuelekea maandamano
wewe huna D mbili hujamuelewa NchimbiWewe unaungaunga mkono Kila kitu.
Sasa hapo huoni anawapiga dongo nyie wananadharia njama (Conspiracy theorists) mnaoshinda kuzua mitandaoni kuwa CHADEMA wanatekana wenyewe Kwa wenyewe na tuhumu zenu huwa mnazielekeza Kwa Mbowe?
wewe una D mbiliWow! Nchimbi ameishauza ramani.....
Tume ya uchunguzi anzeni na hapo waliotajwa...., IPO siku ukweli wa shambulio la Lissu ilikuwa "inside job"
Ujinga WA hawa wauaji wanatumia mbinu zile zile katika kuchagua Nani wamuue....
Ennhe. Alikuwa anamaanisha nini? Usiposema wewe ndiyo utakuwa hujamwelewa Nchimbi.wewe huna D mbili hujamuelewa Nchimbi
NAJIULIZA MWENYEWE TU. Kama science ya siasa duniani hasa Africa imebobea katika utaalam wa hali ya juu tu kuua, kutesa na kuzimishisha ndoto na fikra mbadala, like Jamal Khashoggi mwandishi wa Iran nk, basi aliyeigundua siasa aliongozwa na nguvu za giza (Shetani). Kama rasilimali, muda, na ujuzi unaopotezwa ungetumika kumsaidia, kumtibu, kumsomesha, kumlisha kumuokoa (majanga) mwanadamu aliyeumbwa kwa mfano wa MUNGU, hangekuwepo makini duniani. Kwa nini science hiyo ya siasa isifundishwe kutumia mbinu rafiki zisizogharimu maisha, mateso na vifungo ? Hasara na gharama za kuwatunza yatima na wajane walioachwa kwa madhila haya zimewahi kufikiriwa ? Je, wanaotekwa na kuuwawa kweli ni tishio kwa nchi au ni tishio tu majimboni kwenye kinyang'anyiro cha ugombea ? Mauaji haya yanamvutia vipi mtanzania kujiunga na siasa ? Je, siasa zikigeuka upande mwingine mauaji hayatawafuata pia ? Je, hatuwezi kutafiti nchi zilizopiga hatua kwa maendeleo makubwa duniani bila mauaji ya kutisha. Naogopa siasa kama ukoma.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe.
"Chama chetu kinaunga mkono kauli ya Rais wetu yakutaka uchunguzi wa haraka ufanyike, watuhumiwa wapatikane na hatua zichukuliwe. Rais ametoa kauli hile kwa ukali kabisa ameeleza wazi ambavyo amekerwa na jambo ambalo limetokea."Nchimbi
"Mimi binafsi ni waambieni tu nilipopata taarifa ya hule Msiba, Mbowe alinipigia simu zaidi ya mara tano najuwa atakacho niambia ni habari ya msiba imekuwaje najuwa kama chama tawala na wajibu anapo ongea hivyo ila ujasiri wa kupokea simu nilikosa"
"Na baadae nikamuandikia meseji nikamwambia nakuomba radhi jambo lile lilinivuruga sana nikashindwa kupokea simu yako"Nchimbi
Soma Pia:
Dr. Nchimbi, utamchunguza bosi wako??Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe.
Duuh [emoji24][emoji24][emoji24]Hivi Mafwele akiuawa kutokana na tuhuma hizi Boniface Jacob hatokuwa mshukiwa namba moja??Hivi watoto wake wakidhuriwa Bonoface Jacob atakuwa hajahusika?
Namshauri Mafwele amfingulie kesi boniface Jacob mara moja
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hii ndio Bongo bhana kila mmoja amesikitishwa na mauaji hata wauaji pia wamesikitishwa na mauaji.daadek[emoji38][emoji28]
Mnyonge mnyongeni lakini haki ake mpeni Nchimbi ni mwanasiasa haswaHakika 🐼
Kumuuwa Mwanajeshi aliyepigana Vita ni laana
😃😃😃😃😃😃😃Hii ndio Bongo bhana kila mmoja amesikitishwa na mauaji hata wauaji pia wamesikitishwa na mauaji.daadek😆😅